-
Kulegeza msimamo Marekani kuhusiana na shambulio la kijeshi dhidi ya Iran
May 18, 2019 05:48Rais Donald Trump wa Marekani iwe ni katika kipindi cha kampeni zake za uchaguzi au baada ya kuingia katika ikulu ya White House Januari 2017, amechukua mkondo wa siasa za kutaka kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif ajibu matamshi mapya ya Trump; Timu B yasema hiki, Trump anasema kingine
May 17, 2019 23:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema migongano katika kauli za watawala wa Marekani inaonyesha wazi kuwa hawafahamu kile wanachopaswa kufanya.
-
Dikrii mpya ya Trump; makabiliano ya kiteknolojia kati ya Washington na Beijing
May 17, 2019 00:30Hitilafu kati ya Marekani na China zinasababisha taathira mbalimbali za kisaisa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kistratejia. Washington si tu kuwa haina nia ya kufikia muafaka na Beijing bali inataka kuzuia maendeleo ya China na ustawi wa teknolojia ya nchi hiyo.
-
Shari za Trump: Washington yazionya nchi za Ulaya kuhusu mkakati wao wa kutoishirikisha Marekani katika ulinzi
May 16, 2019 02:04Moja ya hitilafu kuu baina ya Marekani na nchi za Ulaya wakati huu wa urais wa Donald Trump huko Marekani, ni misimamo ya kukinzana ya pande mbili kuhusu siasa na miundo ya ulinzi ya Ulaya na nafasi ya shirika la kijeshi la nchi za Magharibi, NATO.
-
Zarif ajibu pendekezo la Trump la mazungumzo ya simu na Iran
May 12, 2019 10:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameandika ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akijibu pendekezo la Rais Donald Trump wa Marekani la kuomba kufanya mazungumzo ya simu na wakuu wa Iran na kumfahamisha kuwa wapambe wake katika Timu B wamekuwa wakipanga njama dhidi ya Iran
-
Siasa za kimaonyesho za Trump za kuitaka Iran ifanye mazungumzo naye
May 10, 2019 08:43Katika kipindi cha masaa 24 tokea Iran itangaze rasmi kwamba itapunguza ushirikiano wake na pande husika katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, rais wa Marekani ameitaka Iran mara tatu, ifanye mazungumzo naye.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'
May 09, 2019 23:26Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu
May 08, 2019 02:32Utawala wa Marekani ndio unaoshikilia rekodi ya kuziwekea nchi nyingine vikwazo tofauti tofauti.
-
Uungaji mkono kamili wa Trump kwa jinai za Wazayuni huko Ghaza
May 07, 2019 02:06Tokea Rais Donald Trump wa Madarakani aingie madarakani 20 January 2017, amekuwa akiuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel bila masharti yoyote na amechukua hatua ambazo marais waliomtangulia wa Marekani hawajawahi kuzichukua katika kuupa himaya utawala huo bandia.
-
Trump afufua mpango wa kuiweka Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya ugaidi
May 01, 2019 02:53Rais Donald Trump wa Marekani amehuisha uamuzi wake wa awali wa kuiweka harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya makundi ya kigaidi. Serikali ya Washington inaituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inaeneza ubaguzi katika eneo la Asia Magharibi.