-
Jamii ya kimataifa yaendelea kukosoa tangazo la Trump dhidi ya IRGC ya Iran
Apr 10, 2019 03:27Nchi mbalimbali duniani zimeendelea kukosoa hatua ya Rais Donald Trump ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC katika orodha ya Marekani ya makundi ya kigaidi.
-
Afisa mmoja wa Russia asema jeshi la SEPAH ni muhimu katika kulinda usalama Asia Magharibi
Apr 09, 2019 03:19Mjumbe wa Kamisheni ya Mambo ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuwa, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH lina nafasi muhimu katika kulinda usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Mashtaka manane dhidi ya Trump kuwasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani
Apr 08, 2019 11:54Mjumbe mwandamizi wa kamati ya Intelijensia ya Baraza la Wawakilishi la Marekani amesema mashtaka manane ya tuhuma dhidi ya rais Donald Trump yatawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa nchi hiyo.
-
Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani ajiuzulu
Apr 08, 2019 03:24Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani, Kirstjen Nielsen ambaye amekuwa akikosolewa vikali kwa kuongoza utekelezaji wa sera ya kikatili ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri katika mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Mexico amejiuzulu.
-
Wasiwasi wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na hatua ya Marekani dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)
Apr 08, 2019 03:04Rais Donald Trump wa Marekani ambaye alishika hatamu za uongozi wa nchi hiyo Januari mwaka 2017, ameamua kuchukua mkondo wa kupuuza, kukosoa na kujiondoa katika taasisi za kimataifa.
-
Trump: Marekani imejaa hadi pomoni, hatuwezi kupokea watu wengine
Apr 06, 2019 03:16Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kutoa matamshi yake ya kibaguzi na chuki dhidi ya wahajiri, kwa kusema kuwa nchi hiyo imejaa hadi pomoni, na wala haina uwezo wa kupokea watu zaidi.
-
Kutosalimu amri katu taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya Marekani
Apr 01, 2019 20:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kwa hatua zilizo dhidi ya Iran za Rais Donald Trump na kusema kuwa, Wairani katu hatawasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani.
-
Sanders: Maelfu ya Wamarekani katika hatari ya kufa kutokana na sera mbovu ya afya ya Trump
Apr 01, 2019 10:37Seneta Bernie Sanders ambaye ametangaza rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema maelfu ya wananchi wa nchi hiyo wako katika hatari ya kupoteza maisha iwapo mpango wa Rais Donald Trump wa kufuta sheria ya bima nafuu ya afya utafanikiwa.
-
Zarif: Iran kamwe haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Mar 31, 2019 22:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua dhidi ya Iran zinazochukuliwa na Marekani na kusema: "Wairani kamwe hawatasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani."
-
Taasisi ya Brookings ya Marekani: Muqawama wa Iran umeichakaza timu ya Trump
Mar 30, 2019 22:00Taasisi ya utafiti ya Brookings nchini Marekani imekiri kuwa muelekeo unaofuatwa hivi sasa na timu ya utawala wa Donald Trump kwa madhumuni ya kuipigisha magoti Iran ikidhi matakwa ya Washington haujafanikiwa.