Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Ulegevu na msimamo dhaifu wa Ulimwengu wa Kiarabu kuhusiana na njama ya Trump dhidi ya Golan ya Syria

    Ulegevu na msimamo dhaifu wa Ulimwengu wa Kiarabu kuhusiana na njama ya Trump dhidi ya Golan ya Syria

    Mar 29, 2019 03:39

    Wakati dunia inamshuhudia Donald Trump akichukua hatua kinyume cha sheria ya kutambua rasmi umiliki haramu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa eneo la ardhi ya Syria la miinuko ya Golan, nchi za Kiarabu zingali zinaendelea kutosheka na utoaji kauli na maneno matupu, pasi na kuchukua hatua yoyote ya kivitendo kuhusiana na suala hilo.

  • Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu

    Indhari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU kuhusu uenezaji chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 28, 2019 00:07

    Mashambulizi ya kigaidi ya makundi yenye kuchupa mipaka hususan magaidi wa Daesh huko barani Ulaya na Marekani yamepelekea kuandaliwa uwanja wa kushadidishwa mashambulizi ya propaganda na kuibua anga ya vita vya kisaikolojia dhidi ya dini ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla.

  • Rais Rouhani: Uamuzi wa Donald Trump kuhusu miinuko ya Golan ni wa kikoloni

    Rais Rouhani: Uamuzi wa Donald Trump kuhusu miinuko ya Golan ni wa kikoloni

    Mar 26, 2019 22:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiisamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitambua miinuko ya Golan ya Syria kuwa ni mali ya utawala haramu wa Israel ni wa kikoloni.

  • Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller

    Malalamiko ya Wademocrat wa Marekani kwa ripoti ya Mike Mueller

    Mar 26, 2019 22:08

    Ushindi wa ghafla na uliojaa utata alioupata Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani wa mwezi Novemba 2016 ulipokewa kwa hasira kubwa na chama cha Democrat cha nchi hiyo.

  • Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote

    Syria: Tangazo la Trump kuhusu Golan haliwezi kubadilisha chochote

    Mar 26, 2019 03:02

    Syria imesema hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani kutambua rasmi Miinuko ya Golan kuwa milki ya utawala haramu wa Israel katu haiwezi kubadilisha ukweli kwamba miinuko hiyo ni mali halali ya Syria.

  • Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Golan, sehemu isiyoweza kutenganishwa na ardhi ya Syria

    Mar 24, 2019 07:46

    Hivi karibuni na kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Donald Trump wa Marekani alidai kuwa utawala haramu wa Israel unayo mamlaka ya utawala wa miinuko ya Golan.

  • Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Mar 24, 2019 03:07

    Matukio ya miaka ya hivi karibuuni katika medani ya kimataifa hususan kujitokeza makundi yenye kufurutu ada na kuenea vitendo vyao vya ugaidi katika madola ya Magharibi, yalivipatia vyombo vya habari na tawala za nchi hiyo kisingizio tosha cha kueneza chuuki dhidi ya Uislamu.

  • Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini

    Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini

    Mar 23, 2019 09:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitizia umuhimu wa kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani na Mike Pence, Makamu wake wa Rais.

  • Kukariri Trump porojo lake katika ujumbe wa Nowruz kwa Wairani

    Kukariri Trump porojo lake katika ujumbe wa Nowruz kwa Wairani

    Mar 22, 2019 03:12

    Rais wa Marekani Donald Trump, tangu kwenye kampeni zake za uchaguzi wa rais na mpaka baada ya kuingia Ikulu ya White House Januari 2017, amekuwa akitumia lugha kali na maneno machafu dhidi ya Iran, kwa lengo la kuudhoofisha na kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Trump adai hakuna ubaguzi wa rangi katika jamii za Magharibi

    Trump adai hakuna ubaguzi wa rangi katika jamii za Magharibi

    Mar 16, 2019 04:24

    Katika hali ambayo hivi sasa dunia nzima inaomboleza mauaji ya kutisha yaliyotokea jana Ijumaa katika misikiti miwili nchini New Zealand kutokana na hisia kali za ubaguzi wa rangi na wa kizazi, rais wa Marekani, Donald Trump amejitokeza hadharani na kudai kuwa eti hakuna ubaguzi wa rangi katika jamii za Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS