-
Shamkhani: Ubeberu wa kimataifa unataka kutoa pigo dhidi ya Iran
Dec 19, 2018 11:52Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa nchini Iran amesema kuwa, ubeberu wa kimataifa unaoongozwa na Marekani umezidisha vikwazo na mashinikizo kwa shabaha ya kutoa pigo na dhoruba dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lakini utashindwa na kufeli kama ilivyokuwa katika kipindi chote cha miaka 40 iliyopita.
-
Indhari kali ya Putin kwa Washington; kuimarisha nguvu ya nyuklia ya Russia
Dec 19, 2018 07:58Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa nchi yake itajitoa katika makubaliano ya silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF). Kisingizio kikuu cha Marekani cha kutaka kujitoa kwenye mkataba huo wa kiistratijia na wenye umuhimu mkubwa ni madai kwamba Russia imekiuka vipengee vya makubaliano hayo.
-
Trump hamsazi yeyote, azishambulia vikali Facebook, Twitter na Google
Dec 19, 2018 04:19Sanjari na kuendelea kuwashambulia wakosoaji wake na hata kuwafukuza kazi wapambe wake, rais wa Marekani Donald Trump sasa ameelekeza makombora yake dhidi ya mashirika ya intaneti na mitandao ya kijamii ya Google, Facebook na Twitter.
-
Hillary Clinton: Uchaguzi wa Marekani unatawaliwa na mfumo dume
Dec 18, 2018 23:19Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton ameushambulia mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo akiutaja kuwa unatawaliwa na mfumo dume.
-
Guterres atahadharisha kuhusu vitisho vya mfumo wa kambi kadhaa
Dec 18, 2018 03:15Baada ya kusambaratika Urusi ya zamani na kumalizika kipindi cha Vita Baridi hapo mwaka 1991 mfumo wa kambi mbili za Mashariki na Magharibi pia ulitoweka na kumalizika.
-
Marekani yachukua mateka katika vita vyake vya kibiashara na China
Dec 12, 2018 22:58Baada ya Donald Trump kuingia madarakani kama rais wa Marekani Januari mwaka 2017, amekuwa akifuatilia sera hasimu na zenye utata kuhusu China na hivyo kuwaibulia wakuu wa China changamoto kadhaa. Moja ya sera ambazo Trump ametekeleza ni kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa kutoka China na kwa njia hiyo kutangaza rasmi vita vya kibiashara dhidi ya China.
-
Republican yaikosoa Google kwa 'kuanika upumbavu wa Trump'
Dec 12, 2018 04:02Mbunge wa chama cha Rebublican nchini Marekani amemjia juu Ofisa Mkuu Mtendaji wa shirika la intaneti la Google, na kumtaka afafanue kwa nini kila akitafuta neno 'mpumbavu' kwenye mtandao huo, picha zinazokuja ni za Rais Donald Trump.
-
Trump akejeli maandamano ya Ufaransa, asema eti Wafaransa wanataka rais kama yeye
Dec 08, 2018 23:23Katika kile kinachoonekana ni kukejeli maandamano ya wananchi wa Ufaransa wanaopinga mfumo wa kibepari, rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa maandamano hayo ni ya kuunga mkono siasa zake za mazingira na tabianchi.
-
Mbunge Mwislamu wa Kongresi ya Marekani: Trump ni mbaguzi wa rangi
Dec 07, 2018 04:05Mbunge mpya Mwislamu wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa, Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni mbaguzi.
-
Kwa mara nyingine Trump aiomba Kongresi imruhusu kujenga ukuta mpakani
Dec 04, 2018 04:04Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo itatumia mabilioni ya dola kwa ajili ya kujenga ukuta katika mipaka ya nchi hiyo na Mexico iwapo Wademocrat katika kongresi ya nchi hiyo wataafiki bajeti ya ujenzi huo.