-
Kiongozi wa Wademocrati akataa pendekezo jipya la Trump
Jan 20, 2019 09:13Kiongozi wa wawakilishi wa chama cha Democratic katika Baraza la Seneti la Marekani amekataa pendekezo la Rais Donald Trump wa nchi hiyo kwa ajili ya kukomesha hatua yake ya kufunga shughuli zote za serikali ya nchi hiyo.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump Marekani na Ulaya
Jan 20, 2019 04:13Maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani na Ulaya kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump.
-
Kharrazi: Kitendo cha nchi za Ulaya cha kuchelewesha utekelezaji wa SPV hakikubaliki
Jan 19, 2019 13:07Mkuu wa Baraza la Kiistratijia la Uhusiano wa Kigeni la Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kuchelewa kutekeleza mfumo maalumu wa kubadilishana fedha na Iran maarufu kwa jina la SPV na kusema kuwa, kisingizio kinachotolewa na nchi hizo cha kwamba haziwezi kuyalazimisha mashirika ya nchi zao, hakikubaliki kabisa.
-
Wamarekani wamlaumu Trump kwa kufungwa taasisi za serikali ya nchi hiyo
Jan 14, 2019 12:07Aghalabu ya wananchi wa Marekani wamesema kuwa Rais Donald Trump ndiye anayepaswa kubebeshwa dhima ya kufungwa kwa taasisi za serikali nchini humo tokeo mwezi uliopita hadi sasa.
-
Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki
Jan 14, 2019 09:42Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.
-
Marais wa zamani wa Marekani hawaungi mkono shinikizo la Trump la kujengwa ukuta
Jan 08, 2019 21:30Marais wanne wa zamani wa Marekani wamekanusha madai ya Rais Donald Trump kwamba wanaunga mkono azma ya kujengwa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.
-
Wamarekani waliowengi wanapinga ujenzi wa ukuta mpakani
Jan 06, 2019 10:36Uchunguzi mpya wa maoni umebiani kuwa wananchi waliowengi Marekani wanapinga mpango wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo wa kujenga ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.
-
Trump atishia kutangaza hali ya hatari kushinikiza ujenzi wa ukuta
Jan 06, 2019 03:47Huku shughuli za serikali zikiendelea kufungwa kwa wiki ya tatu sasa nchini Marekani, Rais Donald Trump ametishia kuwa ikilazimu atatangaza hali ya hatari ili kushinikiza ujenzi wa ukuta katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico.
-
Majanga yazidi kumwandama Trump, Kongresi kuchunguza uhalifu wa makampuni yake
Jan 05, 2019 11:57Mbunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa ataanzisha uchunguzi kuhusu tuhuma za kuhusika taasisi na makampuni ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump katika uhalifu wa utakatishaji wa fedha chafu na kuhusu uhusiano wake na Saudi Arabia.
-
Kushadidi mzozo baina ya Wademocrat na Trump na uwezekano wa kuitwa bungeni ajieleze
Jan 05, 2019 03:06Tangu alipoingia madarakani nchini Marekani hadi hivi sasa, rais wa nchi hiyo Donald Trump, amekuwa akifanya kila njia kulishinikiza Baraza la Congress libadilishe sheria za nchi kwa manufaa yake.