Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Rais Donald Trump wa Marekani: Kamwe sitomsamehe Barack Obama

    Rais Donald Trump wa Marekani: Kamwe sitomsamehe Barack Obama

    Nov 10, 2018 04:47

    Rais Donald Trump wa Marekani sambamba na kumkosoa vikali mtangulizi wake, Barack Obama amesema: 'Kamwe sitomsamehe Obama kutokana na hatua yake ya kulidhoofisha jeshi na masuala mengine mengi.'

  • Susan Rice awataka waandishi wa habari kususia vikao vya White House

    Susan Rice awataka waandishi wa habari kususia vikao vya White House

    Nov 09, 2018 23:07

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa zamani wa Marekani, Susan Rice amewataka waandishi wa habari kususia vikao vya habari vya ikulu ya Rais wa Marekani, White House hadi pale ikulu hiyo itakapojirekebisha kuwahusu.

  • Trump akiri kutokuwa na uwezo wa kuiwekea Iran vikwazo kamili vya mafuta

    Trump akiri kutokuwa na uwezo wa kuiwekea Iran vikwazo kamili vya mafuta

    Nov 08, 2018 04:54

    Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekiri kuwa haiwezekani kuiwekea kikamilifu Iran vikwazo vya mafuta.

  • Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2018 04:48

    Mwananadharia na mhadhiri mashuhuri wa taaluma ya siasa katika Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani amesema kuwa Doland Trump, ndiye rais mbaguzi zaidi wa rangi katika historia ya nchi hiyo.

  • Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran

    Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran

    Nov 04, 2018 04:40

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Rais Donald Trump wa Marekani ni 'mdogo sana' kuweza kufanikiwa kulipigisha magoti taifa la Iran.

  • Cohen: Trump alisema watu weusi ni wapumbavu, hawawezi kumpigia kura

    Cohen: Trump alisema watu weusi ni wapumbavu, hawawezi kumpigia kura

    Nov 03, 2018 23:06

    Wakili wa zamani wa Rais Donald Trump wa Marekani amesema rais huyo aliwahi kusema kuwa, watu weusi au wenye asili ya Afrika ni wapumbavu sana.

  • Trump kuwapa kibali wanajeshi kuwapiga risasi wahamiaji katika mpaka wa Mexico

    Trump kuwapa kibali wanajeshi kuwapiga risasi wahamiaji katika mpaka wa Mexico

    Nov 02, 2018 03:54

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kuwa, maelfu ya wanajeshi wa nchi hiyo watakaotumwa katika mpaka wa nchi hiyo na Mexico huenda wakalazimika kuwapiga risasi wahajiri wanaotoka katika nchi za Amerika ya Kati na wanaotaka kuingia Marekani kupitia mpaka huo.

  • Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Rouhani: Nchi za Ulaya zikabiliane na Marekani kwa kushirikiana na Iran

    Nov 02, 2018 02:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za Marekani zimehatarisha uthabiti katika uga wa kimataifa na hivyo ametoa wito kwa nchi za Ulaya kushirikiana na Iran katika kukabiliana na maamuzi ya upande moja ya watawala wa Washington.

  • Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel

    Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel

    Nov 01, 2018 12:51

    Kituo cha Palestina cha Quds cha taaluma za masuala ya Kizayuni kimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 300 wameuliwa shahidi na askari wa Israel tangu Baitul Muqaddas itangazwe kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Trump atetea tena sheria ya kumiliki bunduki US licha ya Mayahudi 11 kuuawa Pittsburgh

    Trump atetea tena sheria ya kumiliki bunduki US licha ya Mayahudi 11 kuuawa Pittsburgh

    Oct 28, 2018 04:36

    Kwa mara nyingine tena, Rais wa Marekani, Donald Trump ameunga mkono sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki silaha za moto kiholela nchini humo, licha ya kuweko upinzani mkali dhidi ya sheria hiyo ya kubeba bunduki hasa baada ya mashambulizi ya silaha hizo kushadidi nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS