Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Republican yaikosoa Google kwa 'kuanika upumbavu wa Trump'

    Republican yaikosoa Google kwa 'kuanika upumbavu wa Trump'

    Dec 12, 2018 04:02

    Mbunge wa chama cha Rebublican nchini Marekani amemjia juu Ofisa Mkuu Mtendaji wa shirika la intaneti la Google, na kumtaka afafanue kwa nini kila akitafuta neno 'mpumbavu' kwenye mtandao huo, picha zinazokuja ni za Rais Donald Trump.

  • Trump akejeli maandamano ya Ufaransa, asema eti Wafaransa wanataka rais kama yeye

    Trump akejeli maandamano ya Ufaransa, asema eti Wafaransa wanataka rais kama yeye

    Dec 08, 2018 23:23

    Katika kile kinachoonekana ni kukejeli maandamano ya wananchi wa Ufaransa wanaopinga mfumo wa kibepari, rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa maandamano hayo ni ya kuunga mkono siasa zake za mazingira na tabianchi.

  • Mbunge Mwislamu wa Kongresi ya Marekani: Trump ni mbaguzi wa rangi

    Mbunge Mwislamu wa Kongresi ya Marekani: Trump ni mbaguzi wa rangi

    Dec 07, 2018 04:05

    Mbunge mpya Mwislamu wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa, Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni mbaguzi.

  • Kwa mara nyingine Trump aiomba Kongresi imruhusu kujenga ukuta mpakani

    Kwa mara nyingine Trump aiomba Kongresi imruhusu kujenga ukuta mpakani

    Dec 04, 2018 04:04

    Rais wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo itatumia mabilioni ya dola kwa ajili ya kujenga ukuta katika mipaka ya nchi hiyo na Mexico iwapo Wademocrat katika kongresi ya nchi hiyo wataafiki bajeti ya ujenzi huo.

  • Trump: CIA haina uwezo wa kuthibitisha kuwa Bin Salman amehusika kumuua Khashoggi

    Trump: CIA haina uwezo wa kuthibitisha kuwa Bin Salman amehusika kumuua Khashoggi

    Nov 28, 2018 12:10

    Katika kuendelea uungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani kwa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia kuhusiana na jinai zinazomkabili, kiongozi huyo amedai kwamba Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na mashirika mengine ya upelelezi ya nchi hiyo, hayawezi kuthibitisha kama mwanamfalme huyo amehusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Nov 24, 2018 08:18

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.

  • Kurubuniwa tena Saudia na Trump; mara hii ni kulipa fadhila za kufumbiwa macho mauaji ya Khashoggi

    Kurubuniwa tena Saudia na Trump; mara hii ni kulipa fadhila za kufumbiwa macho mauaji ya Khashoggi

    Nov 23, 2018 04:47

    Msimamo laini wa Rais Donald Trump wa Marekani na ambao kwa hakika ni wa kufumbia macho taarifa za kuhusika Muhammad bin Salman, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia katika sakata la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala huo, kumezusha malalamiko na manung'uniko ya wabunge wengi wa Kongresi ya Marekani.

  • Mbunge wa Marekani: Trump ni kijakazi cha Saudia

    Mbunge wa Marekani: Trump ni kijakazi cha Saudia

    Nov 22, 2018 11:22

    Mbunge wa Kongresi ya Marekani amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa ni kama kijakazi cha Saudi Arabia, kutokana na misimamo ya kuukingia kifua na kuutetea utawala wa Aal Saud.

  • Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Iran: Taarifa ya Trump ya kuikingia kifua Saudia licha ya mauaji ya Kashoggi ni fedheha

    Nov 20, 2018 23:41

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja kama fedheha taarifa iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani akiikingia kifua Saudi Arabia, licha utawala huo kuhusika na mauaji ya mwandishi wa habari na mkosoaji wa ukoo huo wa kifalme, Jamal Khashoggi.

  • Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Nov 20, 2018 23:09

    Gazeti la Washington Post limeandika makala ya ripoti ya kuchunguza siasa za vituko za rais Donald Trump wa Marekani na kile lilichokieleza kama kifo cha kisiasa cha kiongozi huyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS