Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Kimya cha Trump kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudia chatiliwa shaka

    Kimya cha Trump kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudia chatiliwa shaka

    Oct 07, 2018 23:05

    Gazeti la Ra'yul-Yaum limeandika kuwa kimya cha Rais wa Marekani kuhusiana na mauaji ya mwandishi wa habari aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud kinatia shaka.

  • The Independent: Kadhia ya Khashoggi imezidi kudhihirisha jinsi utawala wa Saudia ulivyo dhaifu

    The Independent: Kadhia ya Khashoggi imezidi kudhihirisha jinsi utawala wa Saudia ulivyo dhaifu

    Oct 07, 2018 12:00

    Gazeti la The Independent linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa kusadifiana mkasa wa kuuliwa mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Aal Saud sambamba na matamshi ya udhalilishaji yaliyotolewa na rais wa Marekani kuhusu Saudi Arabia kumezidi kudhihirisha jinsi utawala huo ulivyo dhaifu.

  • Baada ya udhalilishaji wa Trump kwa Saudia, Bin Salman asema anapenda kufanya kazi naye

    Baada ya udhalilishaji wa Trump kwa Saudia, Bin Salman asema anapenda kufanya kazi naye

    Oct 06, 2018 01:33

    Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutoa matamshi ya kuwadhalilisha watawala wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo amejibu matamshi hayo kwa kumsifia rais huyo wa Marekani.

  • Trump: Saudi Arabia inapasa kuipatia Marekani fedha zaidi

    Trump: Saudi Arabia inapasa kuipatia Marekani fedha zaidi

    Oct 05, 2018 04:13

    Rais wa Marekani amewaambia viongozi wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia kuwa wanapaswa kulipa gharama za vikosi vya Marekani ambavyo vinailinda nchi hiyo.

  • Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Oct 05, 2018 03:07

    Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.

  • Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani

    Hatua za Donald Trump na kuongezeka hali ya kutokuwa na imani walimwengu kwa Marekani

    Oct 02, 2018 23:12

    Siasa za upande mmoja za Rais Donald Trump wa Marekani zimepelekea kuongezeka hali ya kutengwa nchi hiyo ulimwenguni.

  • Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Sep 30, 2018 04:04

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.

  • Trump azishauri nchi za Ulaya kujenga ukuta katika Jangwa la Sahara.

    Trump azishauri nchi za Ulaya kujenga ukuta katika Jangwa la Sahara.

    Sep 21, 2018 23:33

    Katika kuendeleza siasa zake zilizo dhidi ya uhamiaji na huku akiamini kwamba ujenzi wa kuta ndiyo njia bora zaidi ya kukabiliana na suala hilo, Rais Donald Trump wa Marekani amezishauri nchi za Ulaya kujenga ukuta katika Jangwa la Sahara ili kukabiliana na wimbi la wahajiri wa Kiafrika wanaohama nchi zao kuelekea nchi hizo.

  • Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamtaka Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina

    Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamtaka Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina

    Sep 21, 2018 03:16

    Wabunge 40 wa Kongresi ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump atazame upya maamuzi yake dhidi ya watu wa Palestina.

  • Ushauri wa Trump kwa Ulaya: Jengeni ukuta wa kizuizi eneo la Afrika la Jangwa la Sahara

    Ushauri wa Trump kwa Ulaya: Jengeni ukuta wa kizuizi eneo la Afrika la Jangwa la Sahara

    Sep 21, 2018 02:58

    Vyombo vya habari vya Uhispania vimefichua kuwa rais wa Marekani amezishauri nchi za Ulaya zitumie mbinu ya kujenga ukuta wa kizuizi kukabiliana na wahajiri kutoka Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS