-
Mike Pompeo: John Kerry anafanya juhudi kubwa za kuidhoofisha serikali ya Trump
Sep 20, 2018 10:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo sambamba na kumkosoa vikali waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo, John Kerry, kwa mara nyingine amesema kuwa, Kerry anafanya njama kubwa zenye lengo la kuidhoofisha serikali ya Rais Donald Trump.
-
Msimamo wa Theresa May wa kuitetea Israel, harakati ya kufuata nyayo za Trump
Sep 19, 2018 02:06Serikali ya Kihafidhina (Conservative) ya Uingereza inahesabiwa kuwa miongoni mwa watetezi na waungaji mkono wakubwa wa utawala wa Kizayuni wa Israel na licha ya jinai na uhalifu mkubwa unaofanywa na utawala huo dhidi ya watu wa Palestina, lakini hakushuhudiwi mabadiliko ya aina yoyote katika mienendo ya London katika uwanja huu.
-
Sisitizo la IAEA la kutekeza Iran makubaliano ya nyuklia; na njama mpya za Donald Trump dhidi ya JCPOA
Sep 18, 2018 07:06Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalitiwa saini Julai 2015 mjini Vienna Austria baina ya Iran na kundi la 5+1, linaloundwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa, China, Russia pamoja na Ujerumani na kuanza kutekelezwa Januari 2016.
-
Trump atoa amri ya kuzipandishia tena ushuru bidhaa za China za thamani ya Dola bilioni 200
Sep 18, 2018 00:08Rais Donald Trump wa Marekani amezipandishia ushuru wa asilimia 10 bidhaa za China zinazoingizwa nchi hiyo, ambazo zinakadiriwa kuwa za thamani ya Dola bilioni 200.
-
Adam Schiff: Trump ana wasi wasi wa kuanikwa na mkuu wake wa zamani wa kampeni za uchaguzi
Sep 17, 2018 03:13Adam Schiff, mjumbe wa baraza la wawakilishi katiba bunge la Marekani amezungumzia wasi wasi wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo juu wa kufichuliwa habari zake na aliyekuwa mkuu wa kampeni zake katika uchaguzi wa rais uliopita nchini humo.
-
Mawaziri wa G20 wataka mabadiliko WTO kukabiliana na uhasama wa Marekani
Sep 15, 2018 20:43Mawaziri wa biashara na uwekezaji wa nchi tajiri duniani za kundi la G20 wamesema kuna haja ya kufanyika mabadiliko ya dharura katika Shirika la Biashara Duniani WTO kukabiliana na vita vya kibiasahra vya Marekani dhidi ya China.
-
John Kerry ajibu mashambulizi ya kimaneno ya Trump kuhusu JCPOA
Sep 15, 2018 20:42Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani sambamba na kutetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA, amekiri kwamba, kwa kuzingatia ukiukaji wa ahadi wa Marekani, hakutofanyika mazungumzo yoyote kati ya Iran na Washington.
-
Katibu Mkuu wa UN ahimiza mwenendo wa kukomeshwa satua ya Marekani duniani
Sep 14, 2018 09:49Tangu Donald Trump aliposhika hatamu za kuiongoza Marekani amekuwa akitekeleza siasa za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja kuhusiana na masuala ya kimataifa. Ikulu ya Rais wa Marekani,White House, tofauti kabisa na uhakika wa mambo, inadai kwamba siasa za Trump zimeipa tena Marekani usukani wa kuiongoza dunia, madai ambayo yamewashangaza wachambuzi na weledi wa mambo.
-
Donald Trump amevunja rekodi ya kusema uongo
Sep 13, 2018 23:01Gazeti maarufu la Washington Post la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo Donald Trump amevunja rekodi zote za kusema uongo.
-
Yemen: Trump na washirika wake wanahusika na mauaji al Hudaydah
Sep 13, 2018 09:25Mkuu wa Kamati Kuu ya Mapinduzi ya Yemen amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani, Saudi Arabia na Imarati wanahusika na mauaji ya wakazi wa mji wa al Hudaydah.