Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Utafiti: Wapalestina wengi hawana imani na Trump

    Utafiti: Wapalestina wengi hawana imani na Trump

    Sep 12, 2018 09:21

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo cha Utafiti na Sera cha Palestina umeonesha kuwa, aghalabu ya Wapalestina hawana imani na Rais Donald Trump wa Marekani na wala hawataki serikali ya Washington ijihusishe na mazungumzo ya amani ya nchi yao.

  • Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani

    Trump kuwafukuza Wapalestina nchini Marekani

    Sep 10, 2018 02:54

    Gazeti moja la nchini Marekani limeripoti kuwa, mshauri wa usalama wa taifa wa White House, leo Jumatatu atatangaza kufungwa ofisi ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO mjini Washington.

  • Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA

    Davenport: Baraza la Usalama limsaili Trump kwa nini Marekani imejiondoa JCPOA

    Sep 09, 2018 11:33

    Mkurugenzi wa Sera za Kuzuia Silaha za Maangamizi katika Shirika la Kudhibiti Silaha la Marekani amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamuweke kiti moto Rais Donald Trump wa Marekani wakati atakapohudhuria kikao cha baraza hilo.

  • Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili

    Kiongozi wa Upinzani Afrika Kusini asema Kenya ni koloni la Marekani, akipigia chapuo Kiswahili

    Aug 31, 2018 02:28

    Kiongozi maarufu wa upinzani nchini Afrika Kusini amekosoa vikali safari ya hivi karibuni ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya nchini Marekani na mazungumzo yake na rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Uchunguzi: Trump, rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Uchunguzi: Trump, rais mbaya zaidi katika historia ya Marekani

    Aug 28, 2018 01:36

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, wananchi wa Marekani wanamtambua Donald Trump kuwa ndiye rais mbaya zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!

    Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!

    Aug 26, 2018 22:50

    Wakulima nchini Afrika Kusini wamekasirishwa na matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani, Donald Trump na kumtaka asijiingize katika mambo yasiyomuhusu.

  • Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Aug 26, 2018 22:48

    Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.

  • Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku

    Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku

    Aug 25, 2018 06:44

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidhihirisha misimamo yake ya kibaguzi tangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na hata baada ya kuingia Ikulu ya White House.

  • Zarif: Kesi ya Iran dhidi ya Marekani ICJ ina nguvu sana

    Zarif: Kesi ya Iran dhidi ya Marekani ICJ ina nguvu sana

    Aug 24, 2018 09:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema, kesi ya Iran dhidi ya Marekani katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu, ICJ, ina nguvu sana. Ameongeza kuwa Marekani sasa imejikita zaidi katika masuala ya kipropagnada kuhusu kesi hiyo.

  • Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Aug 23, 2018 22:13

    Tokea wakati Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani hadi sasa, amekumbwa na changamoto nyingi ndani ya nchi. Moja ya changamoto hizo ni tuhuma kuwa Russia ilihusika katika kuingilia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 kwa maslahi ya Trump.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS