-
Ripoti ya kutisha ya hali ya ukame duniani mwaka 2022
Jan 01, 2023 10:22Ripoti zilizochapishwa kuhusu hali ya ukame duniani mwaka 2022 zinaonesha kuwa hali ya kutisha kuhusu ukosefu wa maji na mazao ya kilimo itaendelea katika miaka ijayo.
-
Kukiri Borrell juu ya mwisho wa udhibiti wa Marekani na nafasi isiyokuwa athirifu ya Ulaya duniani
Oct 22, 2022 11:11Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell amekiri katika mahojiano yake siku ya Alhamisi iliyopita kwamba tunaishi katika ulimwengu wa kambi kadhaa na kwamba kipindi cha udhibiti wa upande mmoja wa Marekani kimefikia tamati.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali mbaya ya dunia
Sep 22, 2022 02:11Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, viongozi wanaokutana ana kwa ana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita kwenye mkutano wa kila mwaka Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wanapaswa kukabiliana na migogoro, majanga ya mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka umaskini na ukosefu wa usawa, na washughulikie migawanyiko kati ya mataifa makubwa ambayo imekuwa mibaya zaidi tangu vilipoanza vita nchini Ukraine.
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 17, 2022 01:23Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.
-
Kuna uwezekano wa vifo kuongezeka kwa 60% duniani kutokana na mabadiliko ya tabianchi
Sep 16, 2022 11:15Jarida la kisayansi la Lancet limetangaza kuwa, upo uwezekano wa kuongezeka mara sita vifo vya watu kutokana na hali ya mabadiliko ya tabianchi ya sayari ya dunia kufikia mwisho wa karne hii.
-
Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani
May 21, 2022 03:14"Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.
-
Seneta Rand Paul: Marekani ni kinara wa kusambaza habari za uongo duniani
May 06, 2022 12:31Seneta wa chama cha Republican, Rand Paul amesema serikali ya Marekani ndiyo kinara wa kueneza habari za uongo katika historia ya dunia.
-
Kiwango cha maambukizi ya corona chapungua duniani kwa wiki ya tatu mtawalia
Apr 14, 2022 02:25Kiwango cha maambukizi ya Covid-19 duniani kimepungua kwa kwa wiki ya tatu mfululizo hadi kufikia tarehe 10 Aprili.
-
Covid-19 imeandaa mazingira ya kushadidi ukosefu wa usawa na uadilifu duniani
Jan 20, 2022 04:30Shirika la Kimataifa la Misaada ya Kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, mbali na watu katika maeneo mbalimbali ya dunia kuwa maskini zaidi katika kipindi cha tangu kuibuka maradhi ya corona, dhulma na ukosefu wa usawa nao umechukua mkondo wa kuongezeka.
-
Benki ya Dunia yatahadharisha kuhusu ongezeko la madeni ya nchi maskini
Oct 13, 2021 02:31Benki ya Dunia imetahadharisha juu ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa madeni ya nchi zenye vipato vya chini duniani na taathira zake kwa uchumi wa dunia.