-
Al-Burhan: Inawezekana kufikia makubaliano kuhusu Bwawa la Renaissance
Oct 16, 2022 03:28Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan ambaye pia ni kamanda wa jeshi la nchi hiyo amesema, kuna uwezekano wa kufikiwa mapatano kuhusu Bwawa na Renaissance.
-
Watu 50 wauawa katika shambulio la anga dhidi ya shule nchini Ethiopia
Oct 06, 2022 04:13Watu wasiopungua 50 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulio la anga lililolenga shule moja huko kaskazini mwa Ethiopia.
-
Ethiopia yakubali mwito wa AU wa kufanya mazungumzo na TPLF
Oct 05, 2022 23:40Serikali ya Ethiopia kwa mara nyingine tena imesema imeafiki mwito wa Umoja wa Afrika (AU) wa kufanya mazungumzo ya amani na waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF).
-
Watu 10 wauawa katika mashambulio kwenye jimbo la Tigray, Ethiopia
Sep 14, 2022 07:35Taarifa kutoka kaskazini mwa Ethiopia zinasema kuwa, waasi wasiopungua 10 wa TPLF wanaopigania kujitenga jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia wameuawa sambamba na kuanza mapigano mapya kati ya wanajeshi wa serikali na waasi hao.
-
Sudan yamwita balozi wa Ethiopia kulalamikia madai ya Addis Ababa kuhusu silaha za wapiganaji wa Tigray
Aug 31, 2022 06:57Wizara ya Masshauri ya Kigeni ya Sudan imemwita katika makao makuu ya wizara hiyo balozi wa Ethiopia mjini Kharton na kumkabidhi malalamiko dhidi ya madai ya serikali ya Addis Ababa ya kupita katika anga ya Sudan ndege iliyokuwa imebeba silaha kwa ajili ya kuwapelekea wapiganaji wa jimbo la Tigray.
-
Ethiopia: Tuko tayari kufanya mazungumzo kuhusu Bwawa la Renaissance kwa usimamizi wa AU
Aug 30, 2022 05:13Ethiopia imesema iko tayarikufanya mazungumzo na Sudan na Misri kuhusu Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance (GERD) chini ya uangalizi wa Umoja wa Afrika (AU).
-
Watu kadhaa wauawa katika shambulio la anga Tigray, Ethiopia
Aug 27, 2022 06:55Watoto watatu ni miongoni mwa watu saba waliouawa katika shambulio la anga lililolenga uwanja wa kucheza watoto katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.
-
Hofu ya AU, IGAD kuhusu mapigano mapya Tigray, Ethiopia
Aug 25, 2022 07:33Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema ametiwa wasiwasi na ripoti za kuibuka makabiliano mapya ya kijeshi nchini Ethiopia.
-
UN: Tunahitaji dola milioni 73 kuwasaidia kwa chakula wakimbizi wa ndani Ethiopia
Aug 10, 2022 03:33Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Ethiopia wametoa ombi la kupatiwa dola milioni 73 ili kuweza kuendelea na utoaji msaada wa chakula kwa wakimbizi 750,000 walioko nchini humo katika kipindi cha miezi sita ijayo.
-
Miripuko ya mabomu yaua watu kadhaa kusini mwa Somalia
Jul 27, 2022 21:54Kwa akali watu watano akiwemo afisa wa ngazi ya juu wa serikali wameuawa katika miripuko pacha ya mabomu iliyotokea jana Jumatano kusini mwa Somalia.