-
Manusura wa mauaji ya halaiki ya Oromia wasimulia: Watu waliuawa kama kuku
Jun 20, 2022 22:15Mwangwi wa mauaji ya halaiki yanayodaiwa kufanywa na waasi dhidi ya raia ambao wengi wao ni kutoka kabila la Amhara huko Ethiopia unaendelea kusikika huku baadhi ya manusura wakieleza jinsi mauaji hayo ya kutisha yalivyofanyika.
-
Ethiopia yabuni kamati ya kuzungumza na wapiganaji wa Tigray
Jun 14, 2022 22:12Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema serikali ya federali ya nchi hiyo imeunda kamati ya kufanya mazungumzo na vikosi vya Harakati ya Ukombizi wa Watu wa Tigray (TPLF).
-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 08:00Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
UN yatahadharishwa: Yanayojiri Ethiopia yanaweza kuwa sawa na mauaji ya kimbari ya 1994 Rwanda
May 20, 2022 03:45Jumuiya 15 za asasi za kiraia barani Afrika zimetahadharisha kuwa yanayojiri katika vita vinavyoendelea hivi sasa nchini Ethiopia yanaweza yakaishia kuwa sawa na mauaji ya kimbari yaliyotokea mwaka 1994 nchini Rwanda ikiwa Umoja wa Mataifa hautachukua hatua haraka za kuuweka mgogoro huo katika ajenda zake.
-
Bei ya petroli yaongezeka pakubwa nchini Ethiopia
May 09, 2022 03:18Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Kikanda ya Ethiopia imetangaza ongezeko la asilimia 16 la bei ya petroli katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Serikali ya Ethiopia yakanusha kuondoka wapiganaji wa Tigray huko Afar
Apr 29, 2022 10:36Serikali ya Ethiopia imekanusha madai kwamba ilitangaza kuwa wapiganaji wa Tigray wameondoka katika mji wa Afar.
-
Walinda amani zaidi ya 500 wa kimataifa wa Ethiopia waomba hifadhi nchini Sudan
Apr 24, 2022 23:32Shirika la habari la Ufaransa limeripoti kuwa, zaidi ya walinda amani 500 wa Umoja wa Mataifa kutoka eneo la Tigray nchini Ethiopia wameomba hifadhi nchini Sudan.
-
Misaada ya kibinadamu yatumwa kwa waathirika wa vita na njaa Ethiopia
Apr 16, 2022 21:52Misaada ya kibinadamu kutoka Benki ya Dunia na Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu imeanza kuwafikia raia wa Ethiopia zaidi ya milioni sita waliathiriwa na vita na wanaokabiliwa na hatari ya njaa.
-
Mashirika ya haki za binadamu yakosoa mauaji ya kikabila Ethiopia
Apr 06, 2022 06:09Makundi mawili ya kutetea haki za binadamu yamewatuhumu wanamgambo wanaobeba silaha wa kaskazini mwa Ethiopia kwa kutenda jinai za kivita.
-
Msafara wa misaada ya chakula wawasili Tigray Ethiopia, kwa mara ya kwanza tangu Disemba
Apr 02, 2022 03:32Msafara wa malori yaliyobeba misaada ya chakula jana Ijumaa uliwasili katika eneo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia linalodhibitiwa na waasi. Msafara huo ni wa kwanza kuwasili Tigray tangu Disemba 14 mwaka jana. Hayo yameelezwa na Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP).