-
Mashirika ya haki za binadamu yakosoa mauaji ya kikabila Ethiopia
Apr 06, 2022 06:09Makundi mawili ya kutetea haki za binadamu yamewatuhumu wanamgambo wanaobeba silaha wa kaskazini mwa Ethiopia kwa kutenda jinai za kivita.
-
Msafara wa misaada ya chakula wawasili Tigray Ethiopia, kwa mara ya kwanza tangu Disemba
Apr 02, 2022 03:32Msafara wa malori yaliyobeba misaada ya chakula jana Ijumaa uliwasili katika eneo la Tigray Kaskazini mwa Ethiopia linalodhibitiwa na waasi. Msafara huo ni wa kwanza kuwasili Tigray tangu Disemba 14 mwaka jana. Hayo yameelezwa na Mpango wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (WFP).
-
Mamia ya Waethiopia warudishwa kwao kutoka Saudia baada ya mateso makubwa
Mar 31, 2022 06:28Mamia ya raia wa Ethiopia jana Jumatano waliwasili Addis Ababa mji mkuu wa nchi hiyo, hilo likiwa kundi la kwanza la raia wapatao 100,000 kurejeshwa nyumbani wakitokea Saudi Arabia.
-
Ethiopia yatangaza kusitisha vita kwa sababu za kibinadamu huko Tigray
Mar 25, 2022 03:28Serikali ya Ethiopia imetangaza kuhitimisha haraka vita vya ndani vya miezi 16 ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika eneo la Tigray lililoathiriwa na mapigaohuko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Ethiopia kuwachukulia hatua wahalifu waliowachoma raia wakiwa hai, baadhi walikuwa na sare za jeshi
Mar 12, 2022 22:54Serikali ya Ethiopia ilisema jana Jumamosi kwamba itawachukulia hatua wahusika baada ya mkanda wa video kuonekana kwenye mitandao ya kijamii ukiwaonyesha watu wenye silaha, baadhi wakiwa wamevalia sare za kijeshi, wakiwachoma moto raia hadi kufa katika eneo la Magharibi mwa nchi hiyo.
-
Zaidi ya watu 800,000 wamekuwa wakimbizi kutokana na ukame huko Ethiopia na Somalia
Mar 10, 2022 00:41Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, ukame na uhaba wa chakula umewafanya watu zaidi ya 845,000 kuwa wakimbizi huko Ethiopia na Somalia.
-
Naibu Katibu Mkuu wa UN: "Jinai zisizoweza kufikirika" zimefanyika Ethiopia hasa dhidi ya wanawake
Feb 13, 2022 00:44Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani kile alichokielezea kuwa ni jinai zisizoweza kufikirika zilizofanywa nchini Ethiopia, hasa dhidi ya wanawake na kutaka haki itendeke kwa waliofanyiwa jinai hizo.
-
Kufutiwa utawala ghasibu wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika
Feb 08, 2022 05:28Mkutano wa 35 wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika tarehe 5 na 6 za mwezi huu wa Februari huko Addis Ababa Ethiopia umesitisha hadhi ya utawala ghasibu wa Israel ya kuwa mwanachama mtazamaji katika umoja huo.
-
FAO yatoa wito wa kuwasaidia waathirika wa ukame katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia
Feb 04, 2022 04:23Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO katika Ukanda wa Afrika Mashariki limetoa wito kwa wananchi, taasisi binafsi na mashirika ya dini kuchangia wananchi walioathirika na ukame pamoja na mazao yao kuharibiwa na nzige katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.
-
Waasi nchini Ethiopia watishia kuanzisha tena mapigano katika eneo la Afar
Jan 26, 2022 23:07Waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray wa (TPLF) katika eneo hilo la kaskazini mwa Ethiopia, wamesema wamechokozwa na hivyo wataanzisha operesheni katika jimbo jirani la Afar, hali inayorudisha nyuma matumaini ya kumaliza mzozo huo unaoendelea kwa mwezi wa 14 sasa.