Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • UN: Hujuma za anga Tigray zimeua raia 108 wa Ethiopia

    UN: Hujuma za anga Tigray zimeua raia 108 wa Ethiopia

    Jan 14, 2022 21:19

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, kwa akali raia 108 wameuawa tangu mwanzoni mwa mwezi huu wa Januari hadi sasa, katika mashambulizi ya anga katika eneo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia.

  • Vita vya Ethiopia na jitihada za kutatua mgogoro wa nchi hiyo

    Vita vya Ethiopia na jitihada za kutatua mgogoro wa nchi hiyo

    Jan 13, 2022 00:51

    Wakati maafisa wa serikali ya Ethiopia wakiahidi kuanzisha mazungumzo ya kitaifa nchini humo, Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) imetangaza kuwa mashambulizi ya jeshi la Ethiopia katika eneo hilo yamesababisha vifo vya zaidi ya raia 56.

  • UNICEF: Pande zinazozozana Tigray Ethiopia zimefanya ukandamizaji dhidi ya watoto

    UNICEF: Pande zinazozozana Tigray Ethiopia zimefanya ukandamizaji dhidi ya watoto

    Jan 10, 2022 10:16

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umezituhumu pande zinazopigana katika jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia kwamba, zimefanya ukandamizaji mkubwa dhidi ya watoto.

  • Kuachiliwa huru wapinzani wa serikali ya Ethiopia; juhudi za kuanzisha mazungumzo ya kitaifa

    Kuachiliwa huru wapinzani wa serikali ya Ethiopia; juhudi za kuanzisha mazungumzo ya kitaifa

    Jan 09, 2022 23:21

    Baada ya miezi kadhaa ya mzozo na vita nchini Ethiopia, Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa nchi hiyo ametangaza msamaha na kuwaachia huru wafungwa mashuhuri wa kisiasa akiwemo kiongozi wa upinzani Jawar Mohammed na maafisa wa chama cha upinzani cha Tigray na hivyo kupiga hatua ya kwanza kwa minajili ya kurejesha utilivu wa kisiasa na kuandaa uwanja kwa ajili ya mazungumzo ya kitaifa.

  • Shambulizi ya anga laua wafanyakazi 56 wa misaada ya kibinadamu Tigray

    Shambulizi ya anga laua wafanyakazi 56 wa misaada ya kibinadamu Tigray

    Jan 09, 2022 01:16

    Shambulio la anga katika eneo la Tigray nchini Ethiopia limesababisha vifo vya watu 56 na kujeruhi wengine 30 wakiwemo watoto, katika kambi ya watu waliokimbia makazi yao. Hayo yamesemwa na wafanyakazi wawili wa kutoa misaada wakinukuu mamlaka za eneo hilo na watu walioshuhidia maafa hayo.

  • Ethiopia yatangaza msamaha kwa wafungwa wa kisiasa akiwemo kiongozi wa upinzani

    Ethiopia yatangaza msamaha kwa wafungwa wa kisiasa akiwemo kiongozi wa upinzani

    Jan 08, 2022 03:40

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itatoa msamaha na kuwaachia huru wafungwa mashuhuri wa kisiasa akiwemo kiongozi wa upinzani Jawar Mohammed na maafisa wa chama cha upinzani cha Tigray.

  • Katibu Mkuu wa UN akaribisha hatua chanya zilizochukuliwa na pande zinazopigana nchini Ethiopia

    Katibu Mkuu wa UN akaribisha hatua chanya zilizochukuliwa na pande zinazopigana nchini Ethiopia

    Dec 25, 2021 09:39

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha tangazo la serikali ya Ethiopia kwamba jeshi lake litasitisha mashambulizi katika eneo ambako liko hivi sasa.

  • Ethiopia: Hatuna nia ya kuwashambulia waasi wa Tigray

    Ethiopia: Hatuna nia ya kuwashambulia waasi wa Tigray

    Dec 22, 2021 09:39

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa, haina nia ya kuendeleza mashambulizi dhidi ya waasi wa Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF).

  • Waasi wa Tigray warudi nyuma na kuondoka maeneo waliyokuwa wakiyadhibiti

    Waasi wa Tigray warudi nyuma na kuondoka maeneo waliyokuwa wakiyadhibiti

    Dec 20, 2021 23:05

    Mkuu wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) ametangaza kuwa, wapiganaji wa harakati hiyo wamerudi nyumana kuondoka katika maeneo yote nje ya eneo la Tigray huko kaskazini mwa Ethiopia ikiwa ni katika kujibu maombi ya kimataifa na kutoa fursa ya kurejesha amani katika eneo hilo.

  • Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

    Ethiopia: Baraza la Haki za Binadamu la UN linatumika kisiasa

    Dec 18, 2021 00:04

    Ethiopia imekosoa kufanyika kwa kikao maalumu cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kujadili na kutathmini visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo kufuatia mzozo unaoendelea kati ya serikali na waasi wa Tigray.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS