-
Kuendelea mgogoro wa Tigray nchini Ethiopia na hatari zake
Nov 23, 2020 09:03Mgogoro katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia umechukua muelekeo mpya ambapo Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amewapa viongozi wa jimbo hilo muda wa masaa 72 wawe wamejisalimisha na kuweka chini silaha zao, la sivyo, atazingira na kuyashambulia makao makuu ya eneo hilo.
-
Jeshi la Ethiopia latoa onyo la kushadidisha mashambulio ili kudhibiti makao makuu ya eneo la Tigray
Nov 22, 2020 09:05Jeshi la Ethiopia limeonya kuwa litashadidisha mashambulio yake dhidi ya Tigray ili kudhibiti makao makuu ya eneo hilo.
-
Umoja wa Mataifa umetaka kusaidiwa kupatiwa ufumbuzi maafa ya kibinadamu nchini Ethiopia
Nov 21, 2020 08:46Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kutekelzwa jitihada za upatanishi huko Ethiopia na kufunguliwa korido za misaada ya kibinadamu nchini humo.
-
UNHCR: Maelfu ya Waethiopia wanaendelea kuelekea Sudan
Nov 19, 2020 03:28Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, vita vinavyoendela katika eneo la Tigray baina ya jeshi la serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF) vimewalazimisha raia karibu elfu 30 kukimbilia nchi jirani ya Sudan.
-
Watu wasiopungua 34 wauawa katika shambulio la basi la abiria magharibi mwa Ethiopia
Nov 15, 2020 23:06Kamisheni ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Ethiopia imetangaza kuwa watu wasiopungua 34 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu waliokuwa na silaha dhidi ya basi la abiria magharibi mwa nchi hiyo.
-
Mgogoro wa Ethiopia; Tigray yaendelea kuwa kitovu cha mzozo
Nov 15, 2020 03:26Mgogoro ulioibuka nchini Ethiopia umekuwa ukichukua mkondo mpana zaidi siku baada ya siku.
-
Mgogoro wa Ethiopia washadidi huku viwanja vya ndege vikishambuliwa
Nov 15, 2020 00:54Mzozo unaoendelea nchini Ethiopia unaonekana kuchukua mkondo mpana zaidi baada ya maeneo kadhaa ya viwanja vya ndege kushambuliwa na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF) kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia awapatia siku tatu waasi wa Tigray wajisalimishe
Nov 14, 2020 08:42Waziri Mkuu wa Ethiopia amewapatia waasi wa Tigray wanaojulikana kama Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF) kaskazini mwa nchi hiyo muda wa siku tatu kuanzia jana wasitishe uasi wao na kujisalimisha.
-
Ndege za kivita za Ethiopia zashambulia maghala ya silaha huko Tigray
Nov 12, 2020 22:07Jeshi la Ethiopia limetangaza kuwa limetekeleza mashambulizi katika maghala ya silaha na kambi za kuhifadhia nishati za Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) kaskazini mwa nchi hiyo.
-
UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi
Nov 12, 2020 08:29Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hali ya wakimbizi wa Ethiopia wanaoendelea kumiminika katika nchi jirani ya Sudan iwapo raia zaidi watalazimika kukimbia mapigano yanayojiri kati ya jeshi la Serikali Kuu ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) huko kaskazini mwa Ethiopia.