Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Ethiopia yatetea oparesheni za kijeshi Tigray, yasema lengo ni kuokoa taifa

    Ethiopia yatetea oparesheni za kijeshi Tigray, yasema lengo ni kuokoa taifa

    Nov 11, 2020 04:36

    Ethiopia imetetea operesheni ya kijeshi inayoendelea katika sehemu ya kaskazini mwa nchi hiyo na kusema oparesheni hiyo inalenga kuokoa taifa.

  • Waethiopia waanza kumiminika Sudan wakikimbia vita, wamo wanajeshi wa serikali

    Waethiopia waanza kumiminika Sudan wakikimbia vita, wamo wanajeshi wa serikali

    Nov 10, 2020 06:49

    Serikali ya Sudan imetangaza kuwa makumi ya wakimbizi kutoka Ethiopia wamevuka mpaka na kuingia kusini mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa ya serikali ya Sudan imesema kuwa wakimbizi hao ambao wanajumuisha wanajeshi 30 wa serikali ya Ethiopia, wameingia katika eneo la Al-Luqdi mashariki mwa jimbo la al-Qadarif.

  • Wakazi wa Amhara nchini Ethiopia waunga mkono oparesheni ya jeshi huko Tigray

    Wakazi wa Amhara nchini Ethiopia waunga mkono oparesheni ya jeshi huko Tigray

    Nov 09, 2020 08:57

    Wakazi wa jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia linalopakana na eneo la Tigray wamesema kuwa wapo tayari kuliunga mkono jeshi la ulinzi ya nchi hiyo katika mzozo na harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF).

  • Waziri wa Mambo ya Nje, Mkuu wa Ujasusi, kamanda wa jeshi, watimuliwa Ethiopia

    Waziri wa Mambo ya Nje, Mkuu wa Ujasusi, kamanda wa jeshi, watimuliwa Ethiopia

    Nov 09, 2020 01:13

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed jana Jumapili aliwafuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje, mkuu wa shirika la kijasusi la nchi hiyo na kamanda wa jeshi la nchi hiyo.

  • Bunge la Ethiopia laafiki kuundwa serikali katika eneo la Tigray

    Bunge la Ethiopia laafiki kuundwa serikali katika eneo la Tigray

    Nov 07, 2020 07:24

    Baada ya mapigano makali ya hivi karibuni baina ya vikosi vya serikali ya Ethiopia na vile vya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF), hatimaye Bunge la nchi hiyo limeafiki kuundwa serikali ya muda katika eneo hilo.

  • Ethiopia yasema uasi Tigray unachochewa na madola ya kigeni

    Ethiopia yasema uasi Tigray unachochewa na madola ya kigeni

    Nov 06, 2020 07:55

    Serikali ya Ethiopia imesema imeamua kutumia nguvu za kijeshi katika eneo la Tigray baada ya kupokea taarifa za kijasusi kuwa serikali yenye mamlaka ya ndani ya eneo hilo inapokea misaada ya kigeni kuchukua hatua dhidi ya serikali kuu iliyoko Addis Ababa.

  • Sudan yafunga mpaka wake baada ya Ethiopia kutangaza vita na waasi

    Sudan yafunga mpaka wake baada ya Ethiopia kutangaza vita na waasi

    Nov 06, 2020 03:06

    Viongozi wa serikali ya Sudan katika jimbo la Kassala wamefunga mpaka wao na Ethiopia baada ya Addis Ababa kutangaza vita na waasi wanaopigania kujitenga eneo la Tigray.

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia: Jeshi limefanikiwa dhidi ya harakati ya TPLF

    Waziri Mkuu wa Ethiopia: Jeshi limefanikiwa dhidi ya harakati ya TPLF

    Nov 05, 2020 04:31

    Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa mashambulizi ya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) yamedhibitiwa. Amesema jeshi la Ethiopia litatekeleza oparesheni nyingine siku chache zijazo.

  • Kwa amri ya Abiy Ahmed: Jeshi la Ethiopia laanza mashambulizi dhidi ya harakati ya TPLF

    Kwa amri ya Abiy Ahmed: Jeshi la Ethiopia laanza mashambulizi dhidi ya harakati ya TPLF

    Nov 04, 2020 05:24

    Jeshi la Ethiopia mapema leo limeanza mashambulizi dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)).

  • Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Nov 03, 2020 03:39

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha magharibi mwa Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS