-
FAO yatoa indhari kuhusu ongezeko la watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani
Mar 24, 2018 00:05Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa FAO limetangaza kuwa idadi ya watu wanaokabiliwa na baa la njaa duniani iliongezeka kwa asilimia 15 katika mwaka uliopita wa 2017.
-
FAO yatahadharisha kuhusu kuzidi ukosefu wa usalama wa chakula Yemen
Mar 01, 2018 04:00Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kwamba, hali ya ukosefu wa usalama wa chakula inazidi kuwa mbaya huko nchini Yemen.
-
FAO: Zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na njaa barani Afrika
Feb 24, 2018 23:18Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza kuwa, zaidi ya watu milioni 220 wanakabiliwa na baa la njaa barani Afrika.
-
FAO yataka uwekezaji zaidi katika kupambana na njaa na umasikini
Jan 05, 2018 00:21Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji zaidi katika uga wa kupambana na umasikini na njaa ulimwenguni.
-
FAO: Uhaba wa chakula katika nchi nyingi duniani unatia wasiwasi
Dec 08, 2017 04:20Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limebainisha wasiwasi wake kuhusu uhaba wa chakula katika nchi nyingi duniani.
-
FAO yataka kuweko juhudi za kupambana na tatizo la njaa ulimwenguni
Nov 30, 2017 00:14Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuungwa mkono na kusaidiwa wazalishaji wadogo ili kukabiliana na tatizo la njaa ulimwenguni.
-
Kuongezeka kwa idadi ya watu wanaosumbuliwa na njaa duniani
Sep 16, 2017 08:33Shirika Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, idadi ya watu wanaosumbuliwa na njaa duniani imeongezeka na kufikia watu milioni 815.
-
FAO yatoa wito wa kuweko uwekezaji wa kudumu nchini Uganda
Aug 31, 2017 09:51Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetoa wito wa kuweko uwekezaji wa kudumu katika nchi ya Uganda iliyoko katika eneo la Afrika Mashariki.
-
FAO: Njaa inatishia eneo la mashariki mwa Afrika
Aug 14, 2017 07:46Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha kuhusu ongezeko la vifo vya watu kutokana na ukame na njaa katika maeneo ya mashariki mwa Afrika.
-
FAO yatahadharisha kuhusu kuongezeka haja ya misaada ya dharura mashariki mwa Afrika
Jul 24, 2017 02:34Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetahadharisha katika ripoti yake kuwa kuna ongezeko la kutia wasiwasi la watu wanaohitaji misaada ya haraka ya kibinadamu katika nchi za mashariki mwa Afrika.