-
Iran yataka kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili kadhia ya Palestina
Feb 10, 2025 14:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na kubadilishana mawazo na mwenzake wa Gambia, Mamadou Tangara, ambaye nchi yake ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), kuhusu matukio ya sasa huko Palestina hususan Ukanda wa Gaza.
-
Afisa wa zamani wa kikosi cha mauaji wakati wa utawala wa Jammeh atiwa nguvuni Gambia
Aug 11, 2024 11:17Jeshi la Gambia limemtia mbaroni kamanda wa zamani ambaye alidaiwa kuwa mwanachama wa 'kikosi cha mauaji" wakati wa utawala wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Yahya Jammeh.
-
Safari ya Abdollahian Gambia kushiriki mkutano wa OIC wa kujadili changamoto za Waislamu hasa Palestina
May 05, 2024 06:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yupo Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Abdollahian aelekea Gambia kushiriki mkutano wa OIC, unajadili changamoto za Waislamu hususan Palestina
May 04, 2024 06:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran kuelekea Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Maafisa wawili wa jeshi wakamatwa Gambia kwa madai ya kuhusika katika jaribio la mapinduzi
Dec 27, 2022 14:48Maafisa wawili wa jeshi la Gambia wanaotuhumiwa kuhusika katika jaribio liliofeli la kuipinduia serikali ya Rais Adama Barrow wa nchi hiyo wametiwa mbaroni. Hayo yameelezwa na msemaji wa serikali ya Gambia.
-
Bunge la Gambia lataka kufuatiliwa faili la vifo vya watoto waliokufa kwa dawa ya India
Dec 22, 2022 03:10Kamati moja ya Bunge la Gambia sambamba na kuthibitisha katika ripoti yake juu ya vifo vya watoto 70 kutokana na kutumia dawa moja ya India imetaka kufuatiliwa faili hilo na serikali kutoa majibu kuhusiana na kadhia hiyo.
-
Gambia kuimarisha hatua za kiafya kufuatia vifo vya watoto 66
Oct 09, 2022 02:56Akihutubia taifa kwa njia ya televisheni, Rais Adama Barrow wa Gambia ameeleza kuwa nchi hiyo itaimarisha hatua za kiafya ikiwa ni pamoja kudhibiti ubora wa dawa kutoka nje baada ya vifo vya kustaajabisha vya makumi ya watu nchini humo.
-
WHO yachunguza dawa za India baada ya watoto 66 kuaga dunia Gambia
Oct 06, 2022 07:21Shirika la Afya Dunia (WHO) limetoa indhari kuwa, yumkini dawa aina nne za kukabiliana na kikohozi na mafua zilizotengenezwa na kampuni ya India ya Maiden Pharmaceuticals zimesababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia.
-
Rais wa Gambia awataka wapinzani waheshimu uamuzi wa mahakama
Dec 29, 2021 07:44Rais Adama Barrow wa Gambia ametoa mwito kwa upinzani nchini humo kukubali na kuheshimu uamuzi wa jana Jumanne wa Mahakama ya Juu ya nchi hiyo wa kutupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi kiongozi huyo.
-
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Gambia, Barrow anaongoza kwa kura chache
Dec 05, 2021 05:47Rais wa Gambia Adama Barrow anaripotiwa kuongoza kwa kura chache katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais uliofanyika jana Jumamosi nchini Gambia, kulingana na matokeo ya muda ya maeneobunge machache yaliyothibitishwa na Tume ya Uchaguzi.