-
Kiongozi wa upinzani Gambia ahukumiwa miaka 3 jela
Jul 21, 2016 13:47Kiongozi wa upinzani nchini Gambia Ousainou Darboe amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.
-
UN yalaani matamshi ya chuki za kikabila ya Rais wa Gambia
Jun 11, 2016 15:29Mshauri Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na Uzuiaji Mauaji ya Kimbari amelaani hotuba ya kichochezi ya Rais Yahya Jammeh wa Gambia ya kutishia kuliangamiza kabila la Mandinka nchini humo.
-
Waislamu wa Gambia wanaoishi Marekani, waitaka Washington ikomeshe dhulma nchini mwao
May 31, 2016 15:34Wanaharakati wa Kiislamu raia wa Gambia wanaoishi nchini Marekani, wameandamana hadi mbele ya ikulu ya White House wakitaka kuhitimishwa dhulma na ukandamizaji nchini mwao.
-
UN yaitaka serikali ya Gambia iwaachilie huru waandamanaji
May 14, 2016 03:51Ofisi ya Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa (OHCHR) imeitaka serikali ya Gambia iwaachilie huru watu waliowekwa kizuizini kwa kushiriki kwenye maandamano ya amani yaliyofanyika Aprili 14 na 16 mwaka huu katika mji mkuu wa nchi hiyo Banjul.
-
Hofu ya UN kuhusu kifo cha mwanaharakati wa upinzani Gambia
Apr 19, 2016 15:28"Kifo cha kiongozi wa upinzani aliyekuwa kizuizini nchini Gambia lazima kichunguzwe na kuwapa tiba majeruhi waliokuwa wakiandamana kwa amani ambao bado wako kizuizini", amesema Kamisha Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa.