Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Gambia

  • Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani

    Rais wa Kenya atoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani

    Jan 21, 2017 07:59

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa wito wa kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Gambia kwa njia za amani.

  • Barrow: Yahya Jammeh amekubali kuondoka madarakani Gambia

    Barrow: Yahya Jammeh amekubali kuondoka madarakani Gambia

    Jan 21, 2017 04:42

    Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani kumpisha rais mpya Adama Barrow.

  • Jammeh apewa muhula aondoke Gambia la sivyo majeshi ya kigeni yatamtimua

    Jammeh apewa muhula aondoke Gambia la sivyo majeshi ya kigeni yatamtimua

    Jan 20, 2017 07:36

    Wanajeshi wa nchi za Afrika Maghairbi wamesimamisha operesheni yao ya kumuondoa madarakani Rais Yahya Jammeh wa Gambia na kumpa fursa ya kuondoka kwa heshima kupitia mazungumzo.

  • Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madaraka

    Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madaraka

    Jan 20, 2017 04:25

    Baada ya kutokea mivutano mikubwa ya kisiasa, hatimaye Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani.

  • Baraza la Usalama laitisha mkutano wa dharura kuhusu Gambia, taharuki yatanda nchini humo

    Baraza la Usalama laitisha mkutano wa dharura kuhusu Gambia, taharuki yatanda nchini humo

    Jan 19, 2017 08:05

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa kufanya mkutano wa dharura hii leo kuhusiana na mgogoro wa kisiasa na kunukia machafuko ya umwagikaji damu nchini Gambia.

  • Rais mpya wa Gambia aapishwa; Jammeh ang'ang'ania madaraka

    Rais mpya wa Gambia aapishwa; Jammeh ang'ang'ania madaraka

    Jan 19, 2017 14:32

    Adama Barrow ameapishwa na kuwa Rais mpya wa Gambia huku Yahya Jammeh aliyetawala nchi hiyo kwa miaka 22 aking'ang'ania madaraka ya nchi.

  • Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh

    Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh

    Jan 19, 2017 05:21

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya Senegal kwa ajili ya kutatua mgogorowa uongozi uliosababishwa na uchaguzi wa rais nchini Gambia.

  • Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari

    Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari

    Jan 18, 2017 16:40

    Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.

  • Juhudi za kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia

    Juhudi za kufanyika makabidhiano ya madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia

    Jan 18, 2017 13:31

    Katika kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Gambia, Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo sanjari na kulaani uingiliaji wa kigeni katika mambo ya ndani ya nchi hiyo, ametangaza hali ya hatari nchini humo.

  • Morocco: Jammeh astaafu baada ya kumalizika muda wake wa urais

    Morocco: Jammeh astaafu baada ya kumalizika muda wake wa urais

    Jan 18, 2017 07:30

    Serikali ya Morocco imemtaka Rais Yahya Jammeh wa Gambia atumie fursa iliyopo kustaafu kwa amani baada ya kumalizika muhula wake wa uongozi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS