Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Gambia

  • Rais Yahya Jammeh atangaza hali ya hatari Gambia

    Rais Yahya Jammeh atangaza hali ya hatari Gambia

    Jan 18, 2017 04:11

    Rais Yahya Jammeh wa Gambia ametangaza hali ya hatari nchini humo kwa siku 90 akiashiria kuingiliwa na nchi ajinabi uchaguzi wa rais wa nchi hiyo uliofanyika mwezi Disemba mwaka jana.

  • Barrow ataka sherehe za kuapishwa kwake zifanyike kama ilivyopangwa, Gambia

    Barrow ataka sherehe za kuapishwa kwake zifanyike kama ilivyopangwa, Gambia

    Jan 18, 2017 04:10

    Rais mteule wa Gambia amesema kuwa, sherehe za kuapishwa kwake kama rais mpya wa nchi hiyo zinapaswa kufanyika kama ilivyopangwa.

  • Nchi za Afrika Magharibi kumuondoa Jammeh madarakani kwa nguvu, Gambia

    Nchi za Afrika Magharibi kumuondoa Jammeh madarakani kwa nguvu, Gambia

    Jan 17, 2017 15:10

    Nigeria na nchi kadhaa za Afrika Magharibi zinapanga kutuma majeshi nchini Gambia kumuondoa madarakani Rais Yahya Jammeh iwapo hatakabidhi madaraka kama ilivyopangwa.

  • Mtoto wa Rais mteule wa Gambia afariki kwa kushambuliwa na mbwa

    Mtoto wa Rais mteule wa Gambia afariki kwa kushambuliwa na mbwa

    Jan 17, 2017 07:27

    Mtoto wa kiume wa Rais-mteule wa Gambia mwenye umri wa miaka minane amefariki dunia kwa kushambuliwa na mbwa katika mazingira ya kutatanisha, wakati huu ambapo baba yake yuko nchini Senegal.

  • Mali yamtaka Jammeh akabidhi madaraka kwa amani

    Mali yamtaka Jammeh akabidhi madaraka kwa amani

    Jan 15, 2017 07:17

    Rais Ibrahim Boubacar Keïta wa Mali amemtaka Rais Yahya Jammeh wa Gambia akabidhi madaraka kwa amani na azuie nchi yake kutumbukia kwenye machafuko.

  • Umoja wa Afrika waitishia Gambia

    Umoja wa Afrika waitishia Gambia

    Jan 14, 2017 13:21

    Mgogoro wa kisiasa nchini Gambia umekuwa tata zaidi katika kukaribia tarehe ya kuapichwa rais mpya wa nchi hiyo. Kuhusiana na suala hilo Umoja wa Afrika (AU) umemtishia Rais wa Gambia kuwa hautamtambua rasmi kuwa rais halali tangu tarehe iliyoanishwa kwa ajili ya kufanyika sherehe za kumuapisha rais mteule wa nchi hiyo.

  • UNOWAS kuhakikisha Jammeh anaondoka madarakani nchini Gambia

    UNOWAS kuhakikisha Jammeh anaondoka madarakani nchini Gambia

    Jan 14, 2017 07:29

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa Afrika Magharibi amesema kunafanyika jitihada za kumshawishi Yahya Jammeh aliyeshindwa katika uchaguzi wa rais Gambia kuondoka madarakani na kumuachia mshindi, Adama Barrow, achukue hatamu za uongozi nchini humo.

  • Adama Barrow asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Jammeh

    Adama Barrow asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Jammeh

    Jan 13, 2017 08:07

    Mshindi wa uchaguzi wa Rais nchini Gambia, Adama Barrow amesema yuko tayari kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Yahya Jammeh, ambaye alipinga matokeo hayo.

  • Bunge la Wawakilishi Nigeria lafungua njia ya kumpa hifadhi ya kisiasa Rais wa Gambia

    Bunge la Wawakilishi Nigeria lafungua njia ya kumpa hifadhi ya kisiasa Rais wa Gambia

    Jan 12, 2017 16:54

    Bunge la Wawakilishi la Nigeria leo limepiga kura kuidhinisha uamuzi wa kumpatia hifadhi ya kisiasa Rais Yahya Jammeh wa Gambia endapo atakubali kung'atuka madarakani.

  • Mahakama Kuu ya Gambia yakataa kusikiliza shauri la malalamiko ya uchaguzi

    Mahakama Kuu ya Gambia yakataa kusikiliza shauri la malalamiko ya uchaguzi

    Jan 11, 2017 04:06

    Mahakama Kuu ya Gambia imetangaza kuwa katika hali ya sasa haiwezi kusikiliza na kutoa uamuzi kuhusu malalamiko ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS