Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Kuhani wa Kiyahudi ahamasisha Wazayuni wafanye mauaji ya kimbari Ghaza

    Kuhani wa Kiyahudi ahamasisha Wazayuni wafanye mauaji ya kimbari Ghaza

    Mar 09, 2024 03:43

    Kuhani mwanamgambo na mhubiri wa mahubiri ya Kizayuni ya utoaji vitisho, Eliyahu Mali, ametoa wito wa kufanywa mauaji ya kimbari ya Wapalestina waliowekewa mzingiro huko Ghaza, akidai kuwa kufanya hivyo kunaendana na Halakha, yaani sheria ya Kiyahudi.

  • Mwendesha Mashtaka wa ICC atuhumiwa kuonyesha undumilakuwili wa wazi kuhusiana na Ghaza

    Mwendesha Mashtaka wa ICC atuhumiwa kuonyesha undumilakuwili wa wazi kuhusiana na Ghaza

    Mar 08, 2024 23:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Human Rights Monitor (Euro-Med) limesema Karim Khan, Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ameonyesha "undumilakuwili" katika kukabiliana na uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Ghaza.

  • Biden ajitoa kimasomaso: Maafa ya sasa ya vifo vya raia Ghaza ni makubwa zaidi kuwahi kutokea huko

    Biden ajitoa kimasomaso: Maafa ya sasa ya vifo vya raia Ghaza ni makubwa zaidi kuwahi kutokea huko

    Mar 08, 2024 06:51

    Rais Joe Biden wa Marekani hatimaye amekiri kuwa hali isiyo ya kawaida na ambayo haijawahi kushuhudiwa ndiyo inayotawala katika vita vya kinyama vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.

  • Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina

    Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina

    Mar 05, 2024 04:12

    Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.

  • Ben-Gvir awapongeza wanajeshi wa Israel walioua zaidi ya Wapalestina 100 Ghaza, US yaizuia UN isitoe tamko

    Ben-Gvir awapongeza wanajeshi wa Israel walioua zaidi ya Wapalestina 100 Ghaza, US yaizuia UN isitoe tamko

    Mar 01, 2024 23:37

    Waziri wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mwenye misimamo mikali ya chuki amewapongeza wanajeshi wa utawala huo walioua zaidi ya Wapalestina 100 waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro.

  • Ukosoaji wa Iran kwa Baraza la Usalama la UN kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ghazza

    Ukosoaji wa Iran kwa Baraza la Usalama la UN kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ghazza

    Feb 29, 2024 03:44

    Tangu ilipoanza duru mpya ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghazza, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikitumia kila fursa inayopata kulaani jinai za utawala huo ghasibu na kutaka mashambulizi ya kinyama yanayofanywa dhidi ya Wapalestina yakomeshwe.

  • Baada ya kutembelea Israel, mbunge wa Kongresi asema: Netanyahu ni kidhabu

    Baada ya kutembelea Israel, mbunge wa Kongresi asema: Netanyahu ni kidhabu

    Feb 29, 2024 03:42

    Mjumbe wa chama cha Democratic katika Baraza la Wawakilishi la Marekani amepinga mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel huko Palestina na kumtaja Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu kuwa ni mhalifu na mwongo.

  • A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    A/Kusini inafuatilia utekelezaji wa hukumu ya Mahakama ya ICJ dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Feb 28, 2024 08:12

    Serikali ya Afrika Kusini imesisitiza kuhusu kutekelezwa hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Kizayuni.

  • Mkuu wa UNRWA: Janga la njaa la 'kutengezwa na watu' Ghazza linaepukika kwa kuruhusu kuingizwa misaada

    Mkuu wa UNRWA: Janga la njaa la 'kutengezwa na watu' Ghazza linaepukika kwa kuruhusu kuingizwa misaada

    Feb 26, 2024 08:17

    Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema baa la njaa kali lililozagaa katika Ukanda wa Gaza linaweza kuepukwa ikiwa misaada itaruhusiwa kuingizwa katika eneo hilo.

  • Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati

    Rais wa Brazil: Kinachofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya umati

    Feb 24, 2024 02:49

    Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil amesema kuwa, kinachofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ni mauaji ya umati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS