-
Iran kufuatilia jinai za Israel katika taasisi za kimataifa
Apr 04, 2018 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitza kuwa Iran itaendelea kuunga mkono harakati za mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina kutoka katika makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina 8 wauawa shahidi na jeshi la Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi
Mar 30, 2018 11:24Kwa akali Wapalestina wanane wameuawa shahidi na wanajeshi katili wa Israel katika maandamano ya Siku ya Ardhi, ya kulaani hatua ya utawala huo ghasibu ya kupora ardhi zao, yaliyofanyika leo karibu na uzio wa kibaguzi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA: Wapalestina Ghaza wanakabiliwa na hali mbaya kibinadamu
Mar 29, 2018 02:06Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wa Palestina Bw. Pierre Krahenbuhl ameonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya kibinadamu ya Wapalestina katika eneo la Ukanda wa Gaza ambalo liko chini ya mzingiro wa Utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Mzingiro dhidi ya Gaza unazidi kuifanya kuwa mbaya hali ya eneo hilo
Mar 22, 2018 03:03Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametahadharisha kwamba, kuendelea mzingiro dhidi ya Ukanda wa gaza kutazidi kuifanya kuwa mbaya hali ya mambo katika eneo hilo.
-
Wapalestina 148 wajeruhiwa katika makabiliano na wanajeshi wa Kizayuni
Feb 17, 2018 13:52Wapalestina wasiopungua 148 walijeruhiwa Ijumaa wakati wakikabiliana na wanajeshi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na Ukanda wa Ghaza.
-
Mazungumzo ya Sheikh Tamim na Ismail Hania; kuendelea uungaji mkono wa Qatar kwa Gaza
Feb 09, 2018 22:08Siku ya Alkhamisi, Sheikh Tamim bin Ahmad Aal Thani, Amir wa Qatar alifanya mazungumzo na Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS. Baada ya mazuangumzo hayo, Sheikh Tamim alitoa msaada wa Dola milioni 9 kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Kushambuliwa Ghaza; ni njama zilizofeli za kutaka kuzima Intifadha ya Quds
Dec 18, 2017 23:19Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza ni njama zilizofeli za kutaka kuzima mapambano ya Intifadha ya kuiunga mkono Quds katika ardhi zote za Palestina.
-
Hamas: Hakuna nchi inayoitwa 'Israel' hata mji mkuu wake uwe 'Quds'
Dec 14, 2017 12:31Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusisitiza kuwa, hakuna dola linaloitwa Israel hata mji mkuu wake uwe Quds tukufu.
-
ICC yakataa kuifungulia mashtaka Israel kwa kuvamia msafara wa wanaharakati na kuua
Dec 01, 2017 04:01Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imesema haitaufungulia mashtaka utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na uvamizi uliofanywa na makomandoo wake dhidi ya msafara wa misaada kwa ajili ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza katika maji ya kimataifa mwaka 2010.
-
Umasikini waongezeka katika eneo la Ukanda wa Gaza, Palestina
Oct 22, 2017 23:19Uchunguzi mpya uliofanywa unaonyesha kuwa, umasikini katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina umeongezeka katika kipindi cha muongo mmoja wa mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo.