Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Hamas yaafiki kuvunja serikali yake Ghaza kwa ajili ya Umoja wa Palestina

    Sep 17, 2017 23:13

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imekubali sharti kubwa lililowekwa na chama cha Fat'h cha Mahmoud Abbas ikiwa ni pamoja na kufanyika chaguzi za kitaifa Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Ghaza.

  • HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    HAMAS yawasilisha kwa Misri mpango wa kupunguza makali ya mzingiro dhidi ya Ukanda wa Gaza

    Aug 23, 2017 03:15

    Mjumbe mwandamizi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo imewasilisha kwa serikali ya Misri mpango wa mapendekezo kadhaa ya kupunguza makali ya mzingiro uliowekwa dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Mahmoud Abbas aendelea kutoa vitisho dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Mahmoud Abbas aendelea kutoa vitisho dhidi ya Wapalestina wa Gaza

    Aug 16, 2017 02:49

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametishia tena kuchukua hatua kali zaidi za kuwaadhibu Wapalestina wa eneo la Ukanda wa Gaza.

  • Abbas azidi kuwabinya Wapalestina, akata mitandao ya kijamii

    Abbas azidi kuwabinya Wapalestina, akata mitandao ya kijamii

    Aug 11, 2017 03:10

    Katika hatua inayoonekana ni ya kuzidi kuwawekea mbinyo Wapalestina, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amepasisha dikrii ya kutaka kufungwa mara moja mitandao ya kijamii na tovuti za habari katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza

    Ndege za Israel zashambulia Wapalestina wa Ukanda wa Gaza

    Aug 09, 2017 02:50

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeshambulia makazi ya Wapalestina wa Gaza usiku wa kuamkia leo na kujeruhi watu kadhaa.

  • Oxfam: Israel na Mamlaka ya Ndani Palestina zinahusika na mgogoro wa Ghaza

    Oxfam: Israel na Mamlaka ya Ndani Palestina zinahusika na mgogoro wa Ghaza

    Aug 07, 2017 10:28

    Mwakilishi wa shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ameutaja utawala wa Kizayuni wa Israel na Mamlaka ya Ndani ya Palestina kuwa zinahusika na kushtadi mgogoro katika Ukanda wa Ghaza.

  • Vikwazo, vizuizi, uhaba, sababu tatu za hatari ya kufa wagonjwa Ukanda wa Ghaza

    Vikwazo, vizuizi, uhaba, sababu tatu za hatari ya kufa wagonjwa Ukanda wa Ghaza

    Jul 14, 2017 22:01

    Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel zingali zinaendelea dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Ghaza na hivi sasa jinai hizo zinawasababishia vifo vya kila namna wakazi hao waliozingirwa kila upande.

  • Haniya: Haiwezekani kutenganisha baina ya Gaza na Ukingo wa Magharibi

    Haniya: Haiwezekani kutenganisha baina ya Gaza na Ukingo wa Magharibi

    Jul 12, 2017 10:01

    Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, harakati hiyo iko tayari kukomesha mgawanyiko ulioko huko Palestina na kwamba eneo la Gaza kamwe halitatenganishwa na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Jun 27, 2017 03:27

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimevurumisha makombora kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati Wapalestina katika eneo hilo wakiwa wanasherehekea siku kuu ya Idul Fitr.

  • Mahmoud Abbas aendelea kuwakomoa Wapalestina wa Gaza; aamua kuwastaafisha askari 1,000 kwa nguvu

    Mahmoud Abbas aendelea kuwakomoa Wapalestina wa Gaza; aamua kuwastaafisha askari 1,000 kwa nguvu

    Jun 19, 2017 03:31

    Katika muendelezo wa hatua za kuwakomoa Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameunda kamati ya usalama kwa lengo la kuwastaafisha kwa nguvu na kabla ya wakati askari elfu moja wa eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS