-
Hamas yaikosoa ICC kwa kutoutembelea Ukanda wa Gaza
Oct 09, 2016 04:48Harakati ya muqawama wa Palestina Hamas imesema safari ya ujumbe wa maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu haina maana na umuhimu wowote, madhali wataalamu hao wa masuala ya sheria watakosa kuutembelea Ukanda wa Gaza.
-
Israel yafanya njama za kuendeleza mzingiro wa kidhulma Ukanda wa Gaza
Oct 03, 2016 00:29Utawala wa Kizayuni wa Israel unajiandaa kuishambulia meli ya al Zaituna na vile vile kuwazua wanaharakati wa kimataifa kuwasili huko Ukanda wa Gaza.
-
Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza
Aug 09, 2016 23:13Utawala wa Kizayuni umemtia mbaroni mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Ndege za kivita za Israel zaendelea kukiuka usitishwaji vita Ghaza
Jul 14, 2016 02:09Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimetekeleza hujuma nyingine katika Ukanda wa Ghaza ikiwa ni ukikwaji wa usitishwaji vita katika eneo hilo la Palestina lililo chini ya mzingiro.
-
Israel kujenga ukuta wa chini ya ardhi huko Ghaza
Jun 17, 2016 23:58Israel inajiandaa kujenga ukuta mkubwa wa saruji huko Ukanda wa Ghaza. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth
-
Wakazi wa Ukanda wa Ghaza waishukuru Iran kwa misaada katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Jun 09, 2016 09:45Wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamewashukuru wananchi na serikali ya Iran kwa misaada ya kibinadamu wanayowapatia katika mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Wazayuni washambulia Wapalestina Ghaza, Ukingo wa Magharibi
May 14, 2016 09:55Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni kwa kushirikiana walowezi wa Kizayuni wenye chuki za kidini na kitaifa, wamefanya mashambulizi katika maeneo tofauti ya Ukanda wa Ghaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan dhidi ya Wapalestina.
-
Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel
May 08, 2016 08:37Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine wavunja makubaliano ya kusimamisha vita na Wapalestina
Mar 12, 2016 11:54Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wamevunja makubaliano ya kusimamisha vita kati yao na Wapalestina kwa kuwashambulia kwa risasi wavuvi wa Kipalestina katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mtoto Mpalestina auawa shahidi Gaza katika hujuma ya Israel
Mar 12, 2016 04:46Mtoto Mpalestina aliyekuwa na umri wa miaka 10 ameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.