-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 11:55Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Kwa nini Iran inaamini kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi unazidisha mivutano?
Feb 02, 2026 12:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa uwepo wa wanajeshi wa nchi ajinabi katika kanda hii siku zote huwa sababu ya kushatadi mivutano.
-
Je, Trump anajaribu kufidia udhalilishaji wa kihistoria iliofanyiwa Marekani 2016 na Iran?
Jan 20, 2026 02:08Tarehe 12 Januari (Dei 22) ni ukumbusho wa siku ambayo wanajeshi wa Marekani walitekwa na majeshi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.
-
Iran kuishtaki "Google" kwa kupotosha jina la "Ghuba ya Uajemi"
May 15, 2025 04:05Kituo cha Kitaifa cha Anga za Juu cha Iran kimesema kitachukua hatua za kisheria dhidi ya kampuni ya Google ya Marekani na majukwaa mengine ya kimataifa kutokana na kupotoshwa kwa jina la kihistoria la Ghuba ya Uajemi.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 12:05Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Iran: White House haiwezi kubadilisha ukweli kuhusu Jina la Ghuba ya Uajemi
May 08, 2025 11:06Ujumbe wa Iran katika Umoja wa Mataifa umelaani vikali jaribio lolote linaloweza kufanywa na Marekani kwa ajili ya kubadilisha jina la Ghuba ya Uajemi, na kusisitiza kwamba ukweli wa kihistoria hauwezi kubadilishwa kwa maamuzi ya kisiasa.
-
Iravani: Iran ni mmiliki wa visiwa vitatu katika maji ya Ghuba ya Uajemi
Apr 22, 2025 07:08Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kwamba Iran inaingilia mamlaka ya visiwa vya Boumousi, Tunb Kubwa na Tunb Ndogo katika Ghuba ya Uajemi na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni na sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Ghalibaf: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lisitekwe na kampeni za vita za Israel
Oct 20, 2024 11:07Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) la Iran amesema kuwa, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi linapaswa kuelewa na kutumia vizuri nguvu zake za dhati, lisikubali kutekwa na kampeni za kivita za utawala wa Kizayuni na liache kutoa madai yasiyo na msingi kuhusu ardhi ya Iran.
-
Ghuba ya Uajemi; nembo ya ukweli wa kihistoria usiokanushika
Jul 09, 2024 02:23Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa akijibu msimamo wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) kuhusiana kuheshimiwa ardhi yote ya Iran na kutopotoshwa jina la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yaikataa taarifa 'isiyokubalika' ya Arab League kuhusu visiwa vyake vitatu vilivyoko Ghuba ya Uajemi
May 17, 2024 08:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetupilia mbali kauli "isiyo na msingi" na "isiyokubalika" iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na visiwa vitatu vya Abu Musa na Tunb Kubwa na Ndogo vilivyoko katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa visiwa hivyo vitabaki kuwa milki ya Iran.