-
IRGC: Iran itatoa jibu la aina yake kwa hatua yoyote ghalati ya Marekani katika eneo
Aug 08, 2023 07:46Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameitahadharisha Marekani dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati na ya uharibifu katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo kutwaa meli zinazopita katika maji ya eneo hili.
-
"Hakuna mfungamano baina ya Marekani na usalama wa Ghuba ya Uajemi"
Aug 06, 2023 07:22Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na Bahari Hindi hauna mfungamano wowote na Marekani.
-
Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake
Jul 03, 2023 02:50Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.
-
US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 05, 2023 02:35Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.
-
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC: Hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi
May 26, 2023 07:03Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Iran na nchi za eneo ni wadhamini wa usalama wa Ghuba ya Uajemi na hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika eneo hili.
-
Kamanda Tangsiri: Usalama endelevu wa Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran
Apr 30, 2023 02:09Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameeleza kuwa: Usalama endelevu wa eneo la Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran na kwamba hakuna nchi itakayoruhusiwa kudhuru usalama na maliasili za eneo hilo.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi
Apr 18, 2023 12:47Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
GCC: Mapatano ya Saudia, Iran kuhitimisha migogoro katika eneo
Mar 23, 2023 11:11Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia uliokuwa umevunjika kwa kipindi cha miaka saba.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele
Jan 13, 2023 11:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele na hakuna mtu yeyote aliye na dhamira ya kuingiza mkono wake humo, kwani hataweza kufanya chochote, kama ambavyo hajaweza kufanya hivyo hadi sasa.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kitendo cha Jarida la Ufaransa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki
Jan 09, 2023 11:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekitaja kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo kuwa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki na udhalilishaji wa thamani za wengine.