-
Jeshi la Iran: Manowari ya Kimarekani yakubaliwa kuingia Ghuba ya Uajemi baada ya kujibu maswali yote ya Wanamaji wa Iran
Nov 28, 2023 04:14Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema: Meli ya kubeba ndege za kivita ya Marekani ilikubaliwa kuingia Ghuba ya Uajemi kupitia Lango Bahari la Hormuz baada ya kujibu maswali yote ya vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa lugha ya kifarsi.
-
Baqeri: Ghuba ya Uajemi inahitaji usalama wa nchi za eneo tu
Sep 21, 2023 23:14Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uwepo wa kijeshi wa maajinabi katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili zina uwezo wa kujidhaminia usalama wao.
-
IRGC: Iran itatoa jibu la aina yake kwa hatua yoyote ghalati ya Marekani katika eneo
Aug 08, 2023 04:16Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) ameitahadharisha Marekani dhidi ya kuchukua hatua yoyote ghalati na ya uharibifu katika eneo la Asia Magharibi, ikiwemo kutwaa meli zinazopita katika maji ya eneo hili.
-
"Hakuna mfungamano baina ya Marekani na usalama wa Ghuba ya Uajemi"
Aug 06, 2023 03:52Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amesema usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi, Bahari ya Oman na Bahari Hindi hauna mfungamano wowote na Marekani.
-
Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake
Jul 02, 2023 23:20Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.
-
US yahamakishwa na muungano wa baharini wa Iran, Saudia, nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 04, 2023 23:05Jeshi la Baharini la Marekani limetiwa kiwewe na tangazo la Iran la kutaka kuundwa muungano wa vikosi vya baharini vya Jamhuri ya Kiislamu, Saudi Arabia na nchi nyingine za Ghuba ya Uajemi.
-
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC: Hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi
May 26, 2023 03:33Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Iran na nchi za eneo ni wadhamini wa usalama wa Ghuba ya Uajemi na hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika eneo hili.
-
Kamanda Tangsiri: Usalama endelevu wa Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran
Apr 29, 2023 22:39Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameeleza kuwa: Usalama endelevu wa eneo la Ghuba ya Uajemi ni matokeo ya juhudi za Iran na kwamba hakuna nchi itakayoruhusiwa kudhuru usalama na maliasili za eneo hilo.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufeli sera za Marekani Asia Magharibi
Apr 18, 2023 09:17Tarehe 5 Aprili Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, alizungumzia na kufafanua masuala kadhaa katika kikao chake na viongozi na maafisa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
GCC: Mapatano ya Saudia, Iran kuhitimisha migogoro katika eneo
Mar 23, 2023 07:41Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (GCC) limepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia uliokuwa umevunjika kwa kipindi cha miaka saba.