Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghuba ya Uajemi

  • Iran: Ushirikiano wa kieneo ndio utaimarisha usalama Ghuba ya Uajemi

    Iran: Ushirikiano wa kieneo ndio utaimarisha usalama Ghuba ya Uajemi

    Apr 15, 2022 04:01

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amelaani uwepo haramu wa madola ajinabi katika eneo la kistratajia la Ghuba ya Uajemi na Lango Bahari la Hormuz na kusisitiza kuwa, ushirikiano wa nchi za Asia Magharibi ndiyo dawa mjarabu ya kudhamini usalama na uthabiti wa eneo hili.

  • Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini

    Mazungumzo baina ya Iran na Oman kuhusu usalama wa baharini

    Mar 10, 2022 04:10

    Kikao cha Tatu cha Makamanda wa Gadi ya Ufukweni ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran na Oman kimefanyika mjini Muscat na kujadili usalama wa baharini. Maudhui kuu iliyojadiliwa na nchi hizi mbili ndugu katika kikao hicho ni kuzidi kushirikiana na kuwa na uratibu wa pamoja na kulinda usalama wa mpaka wa baharini wa nchi hizo.

  • Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana

    Iran: Uhusiano wetu na Oman ni wa jadi na imara sana

    Jan 10, 2022 14:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, uhusiano wa Tehran na Oman ni wa jadi na imara na kwamba siasa za serikali ya Iran zitaendelea kuwa za kupigania uhusiano imara na majirani zake.

  • Safari ya Zarif katika nchi za eneo; ujumbe wa kudhamini usalama wa eneo kupitia mpango wa

    Safari ya Zarif katika nchi za eneo; ujumbe wa kudhamini usalama wa eneo kupitia mpango wa "Amani ya Hormuz"

    May 01, 2021 02:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amefanya safari katika nchi za eneo hili la Ghuba ya Uajemi, ambapo kwa kuanzia alielekea Qatar na kisha akazitembelea Iraq, Oman na Kuwait; ajenda kuu ya mazungumzo yake na viongozi wa nchi hizo ikiwa ni kubadilishana mawazo kuhusu namna ya kustawisha uhusiano wa pande mbili, pamoja na kujenga ushirikiano wa pamoja wa kudhamini amani na usalama wa eneo hili.

  • Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Iran: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Jan 04, 2021 15:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Tehran inafuatilia kwa jicho la karibu nyendo na harakati za kutilia shaka za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo

    Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo

    Dec 15, 2020 11:34

    Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, suala la kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi ni jukumu la nchi zote za eneo hilo na hakuna nchi yoyote inayoweza kujivua na jukumu hilo.

  • Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati

    Kupasishwa na Seneti ya Marekani uamuzi wa kuiuzia silaha za kisasa Imarati

    Dec 11, 2020 02:56

    Marekani daima imekuwa ikitumia porojo kulioonesha eneo la Asia Magharibi kwamba, linakabiliwa na ukosefu wa amani na kueneza chuki dhidi ya Iran sambamba na kuionyesa mbele ya macho ya mataifa ya eneo hili kwamba, ni tishio ili kwa njia hiyo ijiandalie uwanja wa kuziuzia silaha nchi za Ukanda wa kusini mwa Ghuba ya Uajemi.

  • Meja Jenerali Salami: Ghuba ya Uajemi ni ngome imara ya kujilinda Iran ya Kiislamu

    Meja Jenerali Salami: Ghuba ya Uajemi ni ngome imara ya kujilinda Iran ya Kiislamu

    Nov 19, 2020 11:15

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa Ghuba ya Uajemi ni ukanda wenye nguvu wa kuilinda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na ni makutano ya makabilianao baina ya madola.

  •  Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi

    Oct 21, 2020 12:18

    Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kusaini mkataba wa kijeshi na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi

    Waziri wa Ulinzi: Iran iko tayari kusaini mkataba wa kijeshi na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi

    Oct 20, 2020 02:35

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kusaini mikataba ya masuala ya kijeshi na usalama na nchi za pembezoni mwa Ghuba ya Uajemi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS