Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghuba ya Uajemi

  • Hivi ndivyo Uingereza inavyochochea jinai Mashariki ya Kati

    Hivi ndivyo Uingereza inavyochochea jinai Mashariki ya Kati

    Jan 12, 2017 07:32

    Wakati kuna kila dalili zinazoonesha kuwa, Uingereza inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha inarejea katika Ghuba ya Uajemi, ushahidi mpya umethibitisha kwamba mkoloni huyo mkongwe wa Ulaya anahusika moja kwa moja katika jinai zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu hususan Saudi Arabia.

  • Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu

    Qassemi: Waziri Mkuu wa Uingereza anajipendekeza kwa nchi za Kiarabu

    Dec 08, 2016 04:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali matamshi ya chuki dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu, yaliyotolewa jana na Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May, katika mkutano wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC, na kusisitiza kuwa kauli hiyo inalenga kuzifurahisha na kuziridhisha nchi za Kiarabu za baraza hilo.

  • Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 18, 2016 05:49

    Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

  • Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 18, 2016 02:38

    Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

  • Marekani yaziuzia nchi za Kiarabu silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Kiarabu silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 17, 2016 23:19

    Serikali ya Marekani imeziuzia nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

  • Boroujerdi: Kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi kunasaidia kudhamini amani ya eneo

    Boroujerdi: Kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi kunasaidia kudhamini amani ya eneo

    Aug 20, 2016 03:24

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) amesema kuimarishwa uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi kunasaidia kudhamini amani ya eneo.

  • Iran itazamisha meli za kivita za Marekani ikitishiwa

    Iran itazamisha meli za kivita za Marekani ikitishiwa

    May 10, 2016 23:47

    Kamanda katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC ameonya kuwa jeshi hilo linaweza kuzamisha meli za kivita za Marekani iwapo zitakuwa tishio kwa nchi hii.

  • Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi

    Iran kuendelea na mazoezi ya kijeshi

    May 08, 2016 00:15

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu haioni kizingiti chochote katika kufanya mazoezi ndani ya maji yake katika Ghuba ya Uajemi.

  • Iran yalalamikia uingiliaji wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    Iran yalalamikia uingiliaji wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi

    May 04, 2016 23:33

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani uingiliaji wa hivi karibuni wa Marekani katika masuala ya usalama wa Ghuba ya Uajemi.

  • Iran: Uwepo wa US katika Ghuba ya Uajemi unasababisha ukosefu wa usalama

    Iran: Uwepo wa US katika Ghuba ya Uajemi unasababisha ukosefu wa usalama

    May 04, 2016 10:03

    Ofisa mwandamizi wa jeshi la majini la Iran amesema uwepo wa majeshi ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman unapania kusababisha ukosefu wa usalama na kueneza harakati za kigaidi katika eneo.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS