-
Shutuma kali za chama cha Leba cha Uingereza kwa chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi
Jul 21, 2019 21:57Matukio ya hivi karibuni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kama vile kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH baada ya meli hiyo kuvunja sheria za kimataifa za safari za baharini na madai ya uongo ya Marekani ya kwamba eti imetungua droni ya Iran, yamewafanya viongozi mbalimbali wa Uingereza kuonesha hisia zao kuhusu matukio hayo.
-
Kutumwa askari wa Marekani nchini Saudia, hatua mpya ya kuzidisha mvutano katika eneo
Jul 21, 2019 07:22Hatua za kichochezi za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo, hususan ya kuongeza uwezo na harakati zake za kijeshi katika eneo la Ghuba ya Uajemi, imekabiliwa na radiamali kali na athirifu ya Iran.
-
Kusimamishwa meli ya kigeni katika Ghuba ya Uajemi; mapambano ya Iran dhidi ya magendo ya mafuta
Jul 19, 2019 03:49Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC au SEPAH limetangaza kwamba limetumia kibali cha mahakama kusimamisha meli moja iliyokuwa imebeba mafuta ya magendo katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Jeshi la Sepah lakadhibisha madai ya Marekani, lasema halijafuatilia meli ya mafuta ya Uingereza
Jul 11, 2019 01:53Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) limekadhibisha madai yaliyotolewa na maafisa wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon kwamba jeshi hilo limefanya jitihada za kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
UN haijaafiki madai ya Marekani kuhusu drone yake iliyoangushwa na Iran
Jun 22, 2019 03:20Umoja wa Mataifa umejibu madai ya wakuu wa Marekani kuwa drone yao ya kijasusi iliyoangushwa na Iran iliangushwa katika maji ya kimataifa katika Ghuba ya Uajemi.
-
Russia yakosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya Iran
Jun 21, 2019 04:48Baada ya kujitoa kinyume cha sheria katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, Marekani imekuwa ikitekeleza siasa za 'mashinikizo ya juu zaidi' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 10, 2019 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."
-
Kuunga mkono Russia ubunifu wa Iran wa kupunguza hali ya taharuki Ghuba ya Uajemi
May 28, 2019 07:00Ili kufikia malengo yake haramu katika eneo la Asia Magharibi na Ghuba ya Uajemi, Marekani daima imekuwa ikieneza chuki dhidi ya Iran yaani Iranophobia, na kwa njia hiyo imeibua hitilafu na mgogoro katika uhusiano wa Iran na majirani zake katika Ghuba ya Uajemi. Pamoja na hayo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikisisitiza kuhusu ulazima wa kuwepo uthabiti katika Ghuba ya Uajemi na hata imewasilisha mpango mpya kuhusiana na hilo.
-
Iraq: Tunapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 26, 2019 06:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Mohamed Ali Alhakim amesema kuwa nchi yake inapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwamba Baghdad itaendelea kusimama pamoja na Tehran.
-
Jitihada za Marekani za kuzidisha mivutano katika eneo la Asia magharibi
May 25, 2019 21:55Rais Donald Trump wa Marekani tangu aingie madarakani amekuwa akitoa zingatio makhusi kwa eneo la Asia Magharibi na khususan eneo la Ghuba ya Uajemi; na hata safari yake ya kwanza nje ya nchi ilikuwa nchini Saudi Arabia, ili kuonyesha umuhimu wa eneo hili katika siasa za nje za Marekani na nafasi ya washirika wa Washington katika eneo. Bila shaka Trump mara kadhaa amekuwa akiutaja utawala wa Saudia kuwa ni ng'ombe wa kukamwa.