-
Umoja wa Mataifa Wakosoa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Bahrain na Saudia
May 31, 2016 03:09Sambamba na kutangazwa hukumu ya kidhalimu dhidi ya wanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na Saudi Arabia, Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limetoa ripoti na kuzituhumu tawala za nchi hizo mbili kuwa wakiukaji wakubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Ukiukaji wa kupindukia mipaka wa haki za binadamu nchini Bahrain
May 17, 2016 02:36Ripoti ya jumuiya ya haki za binadamu ya Bahrain kuhusu uvunjwaji mkubwa wa haki binadamu nchini humo unaofanywa na utawala wa Aal Khalifa, kupasishwa hukumu ya kifungo cha maisha jela na mahakama kuu ya rufaa dhidi ya wapinzani wanne wa serikali na tamko la viongozi wa kidini wa Bahrain la kulaani siasa za ukoo wa kifalme wa nchi hiyo, ni miongoni mwa mambo muhimu yaliyogonga vichwa habari katika siku za hivi karibuni.
-
Kuongezeka hatua za chuki dhidi ya Uislamu nchini Ufaransa
May 03, 2016 23:36Kamisheni ya Mashauri ya Haki za Binadamu nchini Ufaransa (CNCDH) imetangaza katika ripoti yake ya kila mwaka kwamba, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mara tatu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2015.
-
Watetezi wa haki za binadamu Uingereza wataka Sheikh Zakzaky aichiwe huru
Apr 21, 2016 02:19Kundi la wanaharakai wa kutetea haki za binadamu nchini Uingereza limeanzisha wimbi kubwa la malalamiko katika mitandao ya kijamii likitaka kuachiwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Mkuu wa vyombo vya Mahakama ajibu madai ya haki za binadamu ya Marekani
Apr 18, 2016 22:40Mkuu wa vyombo vya Mahakama nchini Ayatullah Sadeq Amoli Larijani amekosoa vikali ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Baraza la Haki za Binadamu laitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi
Mar 23, 2016 10:30Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa jana liliitisha kikao kujadili hali ya mambo nchini Burundi.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusiana na kuongezeka machafuko nchini Burundi
Mar 19, 2016 13:21Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusiana na kuongezeka utumiaji mabavu na vitendo vya utesaji katika nchi ya Burundi.
-
Wafungwa wa kike Marekani walalamikia unyanyasaji wa kingono
Feb 27, 2016 22:56Wafungwa 6 wa kike wanaoshikiliwa katika jela ya mji wa New York nchini Marekani wamewasilisha mashtaka ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia na maafisa wa jela hiyo.
-
UN: Kuna ushahidi wa jinai za kivita Libya
Feb 26, 2016 12:46Umoja wa Mataifa umesema wahusika wote katika mgogoro wa Libya wametenda jina za kivita pamoja na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
EALA yataka kufanyika uchunguzi juu ya ukiukaji wa haki za binadamu Burundi
Feb 07, 2016 10:24Bunge la Afrika Mashariki EALA limeelezea wasi wasi wake juu ya kukithiri visa vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Burundi na kutoa wito wa kufanyika uchunguzi huru kuhusu suala hilo.