-
HAMAS yakaribisha mpango wa Waarabu wa kuijenga upya Gaza
Mar 05, 2025 22:56Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha mpango wa kuikarabati na kuijenga upya Gaza, uliopitishwa katika mkutano wa dharura wa viongozi wa nchi za Kiarabu mjini Cairo, Misri. Mpango huo pia unakusudia kuzuia kuondolewa Wapalestinakatika eneo hilo lililo chini ya mzingiro.
-
Hamas: Tumejenga upya uwezo wetu kwa vita vyovyote vya siku zijazo
Mar 05, 2025 00:43Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS amesema kuwa, ingawa uamuzi wa kuanzisha tena vita kwa sasa unaonekana uko mbali, lakini harakati hiyo tayari imejenga upya uwezo wake wa kijeshi ili kukabiliana na vita vyovyote vile vya siku za usoni.
-
Israel yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa
Feb 28, 2025 04:01Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwa, katika mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 lilishindwa kuwahami walowezi wa utawala huo wanaoishi katika maeneo jirani na Gaza; na kwamba lilifeli katika masaa ya awali mkabala wa mashambulizi ya Hamas.
-
HAMAS: Mwafaka umefikiwa kuhusu Wapalestina 620 ambao Israel ilichelewesha kuwaachia huru
Feb 26, 2025 09:28Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, ujumbe wake umehitimisha ziara yake katika mji mkuu wa Misri Cairo na umefikia makubaliano na wapatanishi ya kutatuliwa ucheleweshaji uliofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuwaachilia huru wafungwa Wapalestina ambao ilipasa waachiliwe siku ya Jumamosi iliyopita kama sehemu ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya pande hizo mbili.
-
Hamas yakadhibisha madai ya kuwauwa mateka wa Kizayuni
Feb 23, 2025 04:21Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amekadhibisha vikali madai ya uwongo ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba harakati hiyo imewauwa mateka wake kadhaa wa Israel.
-
Afrika Kusini: Usitishaji vita Gaza sharti ulete amani ya kudumu
Feb 20, 2025 23:20Rais wa Afrika Kusini amesema usitishaji wa mapigano katika Ukanda wa Gaza unapasa kuleta uadilifu na amani ya kudumu katika eneo hilo.
-
HAMAS: Wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi ya Palestina
Feb 17, 2025 01:04Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuzungumzia mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa Ghaza na kutangaza kuwa wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi hiyo ya Palestina.
-
HAMAS, Jihadul-Islami, Wabunge wa US wapinga na kulaani matamshi ya Trump ya kuipora Ghaza
Feb 05, 2025 02:56Matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kwamba nchi hiyo itawahamisha Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza na kulitwaa na kulimiliki eneo hilo la Palestina yamelaaniwa na kukosolewa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Hamas yaukosoa utawala wa Kizayuni kwa kukwamisha utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mapigano
Feb 04, 2025 04:01Kiongozi wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni anaendelea kukwamisha utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mapigano na kubadilishana kwa uhuru wafungwa na mateka.
-
HAMAS yalaani mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni Jenin, Ukingo wa Magharibi
Feb 03, 2025 03:30Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.