Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Radiamali za Hamas, Amnesty na Uturuki kwa kifo cha aliyekuwa rais wa Misri

    Radiamali za Hamas, Amnesty na Uturuki kwa kifo cha aliyekuwa rais wa Misri

    Jun 18, 2019 08:12

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa kifo cha kutatanisha cha aliyekuwa rais wa Misri, Mohammad Morsi.

  • 'Muamala wa Karne' umetayarishwa na Marekani kwa maslahi ya Wazayuni

    'Muamala wa Karne' umetayarishwa na Marekani kwa maslahi ya Wazayuni

    Jun 16, 2019 22:56

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani unalenga kuangamiza taifa la Palestina kupitia 'Muamala wa Karne' ulio kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni katika eneo la Asia Magharibi.

  • Hamas yataka Wapalestina wawe wabunifu katika kupambana na Wazayuni

    Hamas yataka Wapalestina wawe wabunifu katika kupambana na Wazayuni

    Jun 14, 2019 02:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeitaka serikali na wananchi wa Palestina kuwa na ubunifu wa kitaifa katika kukabiliana na siasa za kibeberu za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Muamala wa karne kamwe hautofanikiwa

    Hamas: Muamala wa karne kamwe hautofanikiwa

    May 29, 2019 06:40

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" kamwe hautotekelezwa na utafeli tu chini ya kivuli cha mapambano ya taifa la Palestina.

  • Jenerali Mzayuni akiri nguvu za makombora za HAMAS huko Palestina

    Jenerali Mzayuni akiri nguvu za makombora za HAMAS huko Palestina

    Apr 29, 2019 23:42

    Jenerali mmoja Mzayuni amekiri kuwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ina nguvu kubwa za makombora ambazo zinaweza kusambaratisha maisha ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Mamlaka ya Ndani ya Palestina sio mwakilishi wa Wapalestina

    Hamas: Mamlaka ya Ndani ya Palestina sio mwakilishi wa Wapalestina

    Apr 17, 2019 09:51

    Mahmoud al-Zahar, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas amesema kuwa, Mamlaka ya Ndani ya Palestina sio mwakilishi wa Wapalestina.

  • Hamas: Serikali mpya ya Abbas itasahilisha utekelezaji wa

    Hamas: Serikali mpya ya Abbas itasahilisha utekelezaji wa "Muamala wa Karne"

    Apr 14, 2019 02:56

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekosoa uundwaji wa serikali mpya Palestina inayotawaliwa na wanachama wa chama chake cha Fath, ikisisitiza kuwa serikali ya namna hiyo itawepesisha utekeleza wa njama za Marekani dhidi ya Wapalestina zilizopewa jina "Muamala wa Karne".

  • Israel: Harakati ya HAMAS inao uwezo wa kuingia Israel na kuua askari wetu wengi

    Israel: Harakati ya HAMAS inao uwezo wa kuingia Israel na kuua askari wetu wengi

    Mar 11, 2019 04:33

    Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel, Naftali Bennett amekiri uwezo mkubwa wa kijeshi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Harakati ya Hamas yakosoa siasa za Rais Mahmoud Abbas

    Harakati ya Hamas yakosoa siasa za Rais Mahmoud Abbas

    Feb 25, 2019 23:08

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina anakubaliana na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" lakini viongozi wa Fat'h wanataka kumuonyesha kiongozi huyo kwamba, anaupinga mpango huo.

  • HAMAS: Taifa la Palestina limethibitisha kwamba, Masjidul Aqswa ni mstari mwekundu

    HAMAS: Taifa la Palestina limethibitisha kwamba, Masjidul Aqswa ni mstari mwekundu

    Feb 23, 2019 04:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa Umma wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS