-
Hollande amtabiria ushindi Hillary Clinton katika uchaguzi wa Rais Marekani
Oct 16, 2016 07:47Rais wa Ufaransa anaamini kuwa mwanamke ndiye atakayechaguliwa kuwa Rais wa Marekani.
-
Wamarekani wengi wahofia wizi wa kura katika uchaguzi wa rais
Oct 03, 2016 04:01Wamarekani waliowengi wana hofu kuwa kutajiri wizi wa kura katika uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika tarehe 8 mwezi ujao wa Novemba.
-
Ripoti ya Congress ya Marekani Kuhusu Tukio la Benghazi, Libya
Jun 30, 2016 07:20Baada ya kukamilika mchakato wa vyama viwili vikuu vya Marekani vya Democrat na Republican kuwateua wagombe wao ambao watawania kiti cha urais yaani Hilary Clinton na Donald Trump kwa utaratibu, pande mbili sasa zimeanza kuchafuana katika kampeni.
-
MEE: Saud Arabia inafadhili kampeni za uchaguzi za Clinton
Jun 14, 2016 13:17Kituo cha habari cha Middle East Eye (MEE) cha Uingereza kimefichua kuwa Saudi Arabia ni miongoni mwa wafadhili wakuu wa kampeni za uchaguzi za mgombea wa kiti cha rais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democtatic, Hillary Clinton.
-
Hillary Clinton aunga mkono makubaliano ya nyuklia, amkosoa Trump
Jun 03, 2016 07:23Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats, Hillary Clinton ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya madola makubwa ya dunia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Google ilitaka kuisaidia Marekani kumpindua Rais Assad wa Syria
Mar 22, 2016 07:01Barua pepe (email) ya mwaka 2012 iliyovuja ya Hillary Clinton inaonyesha kuwa shirika la intaneti la Google lilitoa pendekezo kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu mbinu za kuiangusha serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.