Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah

  • Israel yakiri kuhusu nguvu ya Hizbullah ya Lebanon

    Israel yakiri kuhusu nguvu ya Hizbullah ya Lebanon

    Mar 05, 2016 03:05

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Watunisia walaani uamuzi wa [P]GCC wa kuitaja Hizbullah kuwa kundi la kigaidi

    Watunisia walaani uamuzi wa [P]GCC wa kuitaja Hizbullah kuwa kundi la kigaidi

    Mar 04, 2016 07:49

    Washindi wa tunzo ya amani ya Nobel kutoka Tunisia wamelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi.

  • Saudia yaendelea kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Saudia yaendelea kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Mar 04, 2016 02:46

    Kufuatia kuongezeka wasiwasi kuhusu kuimarika ushawishi wa Iran katika eneo baada ya kutiwa saini mapatano ya nyuklia, Israel na Saudia zimezidi kukurubiana ili kukabiliana na hali hiyo.

  • Iran yapinga vikali taarifa ya GCC

    Iran yapinga vikali taarifa ya GCC

    Mar 03, 2016 14:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali taarifa iliyotolewa na Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi inaliyoitambua harakatri ya Hizbullah ya Lebanon kuwa ni kundi la kigaidi.

  • Algeria yapinga kutolewa tuhuma za ugaidi dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Algeria yapinga kutolewa tuhuma za ugaidi dhidi ya Hizbullah ya Lebanon

    Mar 03, 2016 07:58

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Algeria Algeria imepinga kutolewa taarifa ya Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu dhidi ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.

  • Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati

    Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati

    Mar 03, 2016 06:48

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hatua ya kuiweka harakati ya Huzbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi ni sawa na kufumbia macho jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel suala ambalo halina faida kwa usalama na amani na eneo la Mashariki ya Kati.

  • PGCC: Hizbullah ni taasisi ya kigaidi

    PGCC: Hizbullah ni taasisi ya kigaidi

    Mar 03, 2016 03:10

    Nchi sita wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi zimeiweka Harakati ya Muqawama ya Lebanon Hizbullah ambayo inaendesha mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Kizayuni na magaidi huko Syria katika orodha eti ya magaidi.

  • Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati

    Marekani, Israel, Saudia zinachochea fitna Mashariki ya Kati

    Mar 02, 2016 02:50

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia zinachochea fitna na mizozo ya kimadhehebu katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha

    Hizbullah: Hatuwezi kuiomba Saudia msamaha

    Feb 28, 2016 08:03

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeukosoa utawala wa Saudi Arabia kwa kula njama ya kuitumbukiza Lebanon katika mzozo wa ndani na kuongeza kuwa katu haiwezi kuiomba msahama serikali ya Riyadh kwa kusema ukweli.

  • 'Sudan inaiuzia Saudia habari za kipelelezi kuhusu Hizbullah'

    'Sudan inaiuzia Saudia habari za kipelelezi kuhusu Hizbullah'

    Feb 28, 2016 02:26

    Gazeti la al Akbar la Lebanon limeripoti kuwa, serikali ya Sudan inaiuzia Saudi Arabia habari za kipelelezi kuhusu mbinu zinazotumiwa na Hizbullah katika masuala mbalimbali hususan mbinu za harakati hiyo ya Kiislamu za kupambana na utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS