-
'Sudan inaiuzia Saudia habari za kipelelezi kuhusu Hizbullah'
Feb 27, 2016 22:56Gazeti la al Akbar la Lebanon limeripoti kuwa, serikali ya Sudan inaiuzia Saudi Arabia habari za kipelelezi kuhusu mbinu zinazotumiwa na Hizbullah katika masuala mbalimbali hususan mbinu za harakati hiyo ya Kiislamu za kupambana na utawala ghasibu wa Israel.
-
Hizbullah: Lebanon haitatawaliwa na Saudia
Feb 27, 2016 13:23Harakati ya Hizbullah imeonya kuwa Lebanon kamwe haitakuwa chini ya mamlaka ya Saudi Arabia licha ya kuwepo mashinikizo ya ufalme huo kwa maafisa wa Lebanon.
-
Hizbullah ya Lebanon: Saudi Arabia ndio inayochafua jina la dini tukufu ya Kiislamu
Feb 27, 2016 04:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo mchafuzi mkubwa wa haiba na sura ya Uislamu ulimwenguni.
-
Hizbullah yasisitizia uhusiano mwema na harakati ya Hamas
Feb 24, 2016 21:41Mjumbe wa mrengo wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon, Hassan Hubullah, amesisitiza udharura wa kuimarishwa uhusiano mwema baina ya harakati hiyo na ile ya Palestina Hamas katika ngazi ya viongozi.
-
Al Arabiya yamtimua aliyerusha filamu kuhusu Nasrullah
Feb 23, 2016 22:16Mkurugenzi wa Kanali ya Televisheni ya Kiarabu ya Al Arabiya amefutwa kazi kwa kutangaza filamu ya matukio ya kweli ambayo ilionekana kumuunga mkono kiongozi wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia dhidi ya Iran
Feb 20, 2016 09:56Akizungumza kwenye mahojiano na kanali ya CNN katika kuhalalisha hatua zake za kisiasa katika eneo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameituhumu Iran kuwa inatekeleza siasa za kuibua malumbano ya kimadhehebu katika eneo.
-
Sheikh Naeem Qassim: Hizbullah haijaghafilika katu na Israel
Feb 12, 2016 23:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawa wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amesema muqawama katu haujaghafilika na njama na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Aoun: Lebanon inahitaji Hizbullah kulinda mipaka yake
Feb 07, 2016 22:18Kiongozi wa chama cha Harakati Huru ya Kizalendo nchini Lebanon (FPM) amepongeza juhudi za Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah za kupambana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh nchini Syria na kusisitiza kuwa, Lebanon inaiihitaji Hizbullah kulinda mipaka yake.
-
Hizbullah: Madai kuwa Iran inaingilia masuala ya ndani ya Lebanon hayana msingi
Jan 30, 2016 04:23Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaingilia masuala ya ndani ya Lebanon, akisisitiza kuwa hakuna ushahidi wowote juu ya tuhuma hizo.