-
Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria
Sep 03, 2018 03:24Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, kukombolewa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria ambayo ni ngome ya mwisho ya magaidi katika nchi hiyo litakuwa pigo kubwa kwa Magharibi, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia.
-
Syria yaitaka Hizbullah iendelee kubakia nchini humo
Aug 25, 2018 21:55Serikali ya Syria imeitaka Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanona iendelee kubakisha wapiganaji wake nchini humo, baada ya kumalizika mapigano ya kijeshi kaskazini mwa nchi.
-
Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah
Aug 22, 2018 21:09Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon amesema, rais wa Syria hakulikubali pendekezo la Saudi Arabia la kuijenga upya nchi hiyo mkabala wa Syria kuvunja uhusiano wake na Hizbullah na Iran.
-
Hizbullah kwa mara ya kwanza imezindua aina mbalimbali za makombora yake
Aug 19, 2018 10:51Harakati ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara ya kwanza ilipanga kuzindua leo Jumapili sehemu ya makombora yaliyotumiwa na harakati hiyo ya muqawama wa Kiislamu kwa ajili ya kuilinda nchi hiyo katika miaka ya karibuni.
-
Hizbullah: Marekani imehusika katika jinai ya mauaji ya mji wa As-Suwayda, Syria
Jul 26, 2018 09:40Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon imetoa taarifa ikisema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi katika eneo la al-Tanf ni hatari kubwa na kwamba Marekani imeshiriki katika jinai kubwa dhidi ya raia wa mji wa As-Suwayda kusini mwa Syria.
-
Hizbullah yalaani sera mpya ya ubaguzi wa rangi ya utawala haramu wa Israel
Jul 21, 2018 02:52Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa kuhusu sheria mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel inayojulikana kama 'Nchi ya Kiyahudi' na kusema hiyo ni njama ya Kuyahudisha kikamilifu ardhi zote za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
-
Hizbullah: Shambulizi lolote la Israel dhidi ya Lebanon litajibiwa kwa kuteketeza eneo la Golan
Jul 03, 2018 03:05Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon sambamba na kuashiria onyo kali lililotolewa na Ufaransa kwa utawala haramu wa Kizayuni, imesema kuwa chokochoko yoyote ya Israel itakayofanywa dhidi ya Lebanon, itapelekea kuteketezwa eneo la milima ya Golan inayodhibitiwa na Israel kwa sasa.
-
Hizbullah: Tuko imara zaidi hivi sasa kukabiliana na chokochoko zozote zile
Jun 24, 2018 22:26Naibu wa Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo ya Kiislamu iko imara zaidi hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote na kuongeza kuwa, sasa hivi Lebanon ina usalama wa kiwango cha juu zaidi katika eneo hili kutokana na ushujaa na kujitoa muhanga wanamapambano wa Kiislamu katika kukabiliana na Israel na magenge ya wakufurishaji.
-
Hizbullah: Mipango yote ya Marekani, Israel na Saudia itafeli
Jun 16, 2018 21:03Mjumbe wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Nabil Qaouk amesema kuwa, mipango ya pamoja ya Marekani, utawala haramu wa Israel na Saudi Arabia itaishia kushindwa.
-
Msuguano katika Uhusiano wa Ufaransa na Saudi Arabia
May 30, 2018 03:34Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa amedai kuwa alikuwa na nafasi muhimu katika utatuzi wa mgogoro wa Lebanon mwaka jana. Aidha amefichua kuwa, Saudi Arabia ilikuwa imemkamata kwa wiki kadhaa Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri.