Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hormoz

  • Araqchi: Mazungumzo na Oman kuhusu Lango-Bahari la Hormuz yako katika hatua za mwisho

    Araqchi: Mazungumzo na Oman kuhusu Lango-Bahari la Hormuz yako katika hatua za mwisho

    Aug 09, 2026 11:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema leo kwamba mazungumzo na Oman kuhusu Lango Bahari la Hormuz yako katika hatua za mwisho na kuongeza: "Bila shaka, hii haina maana kwamba Lango la Hormuz litafunguliwa. Ufunguzi wa Lango la Hormuz unategemea masharti mengine."

  • Zolqadr: Lango-Bahari la Hormuz litaendelea kufungwa hadi pale Marekani itakapobadilisha tabia yake

    Zolqadr: Lango-Bahari la Hormuz litaendelea kufungwa hadi pale Marekani itakapobadilisha tabia yake

    Aug 09, 2026 09:55

    Afisa wa ngazi ya juu wa usalama wa Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa nchi hiyo haitalegeza vikwazo vya usafirishaji kupitia Lango Bahari la Hormuz hadi pale Marekani itakapobadilisha mwenendo wake mbele ya Tehran.

  • Mkuu wa Aramco: Kufungwa Lango-Bahari la Hormuz kumesababisha ‘mshtuko mkubwa kwa usambazaji wa mafuta katika historia’

    Mkuu wa Aramco: Kufungwa Lango-Bahari la Hormuz kumesababisha ‘mshtuko mkubwa kwa usambazaji wa mafuta katika historia’

    Aug 05, 2026 02:51

    Mkurugenzi wa kampuni kubwa ya mafuta ya Saudi Arabia ya Aramco ameeleza kuwa kufungwa Lango-Bahari la Hormuz kumesababisha "mshtuko mkubwa zaidi wa usambazaji wa mafuta katika historia," na kwamba masoko ya dunia yamepoteza mapipa ya mafuta zaidi ya bilioni 2.6 tangu kuanza kutekelezwa hatua hiyo.

  • Iran yasifu mazungumzo ‘yenye tija’ na Oman kuhusu usafirishaji katika Lango-Bahari la Hormuz

    Iran yasifu mazungumzo ‘yenye tija’ na Oman kuhusu usafirishaji katika Lango-Bahari la Hormuz

    Jul 26, 2026 13:18

    Iran imesema kuwa mazungumzo kati yake na Oman kuhusu safari salama za meli katika Lango Bahari la Hormuz yamepiga hatua nzuri, lakini hakuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika katika suala la usafirishaji kupitia njia hiyo muhimu ya maji.

  • Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani

    Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani

    Jul 13, 2026 10:11

    Iran: Lango-Bahari la Hormuz limefungwa kwa safari zote kufuatia hatua 'haramu' za kijeshi za Marekani

  • Iran yaalaani uchokozi wa kihalifu wa Marekani, yaapa kushambulia chanzo cha mashambulizi

    Iran yaalaani uchokozi wa kihalifu wa Marekani, yaapa kushambulia chanzo cha mashambulizi

    Jul 13, 2026 03:10

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali jinai na mashambulizi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya Iran katika saa 24 zilizopita.

  • Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo

    Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo

    Jun 29, 2026 12:27

    Iran na Oman zimefanya mkutano wa kwanza wa kamati mpya ya pamoja ya Hormuz, unaojadili usimamizi wa baadaye wa Lango-Bahari la Hormuz.

  • “Hormuz, Lango Takatifu”

    “Hormuz, Lango Takatifu”

    Jun 17, 2026 07:20

    Matumaini yangu mpenzi msikilizaji ni kuwa hujambo popote pale ulipo. Karibu kuwa pamoja nami katika makala yetu ya wiki hii yenye anuani: “Hormuz, Lango Takatifu”.

  • Jeshi la Iran  lasema meli 25 zimepita katika Lango la Hormuz

    Jeshi la Iran lasema meli 25 zimepita katika Lango la Hormuz

    May 24, 2026 03:28

    Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimetangaza kuwa meli 25, zikiwemo meli za mafuta, meli za mizigo (kontena), na meli zingine kibiashara, zimevuka Lango la Bahari la Hormuz katika kipindi cha saa 24 zilizopita hadi kufikia jana, baada ya kupata idhini na chini ya uratibu wa kiusalama wa jeshi hilo.

  • Namna Marekani Ilivyokosa Kuwa na Mkakati Unaoeleweka Katika Kuamiliana na Iran

    Namna Marekani Ilivyokosa Kuwa na Mkakati Unaoeleweka Katika Kuamiliana na Iran

    May 02, 2026 17:20

    Naibu waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosoa namna serikali ya Donald Trump inavyosimamia suala la vita dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington haina mkakati unaoeleweka, wala mwenendo wa uchukuaji maamuzi ulioratibika, na kwamba mgogoro wa sasa hautatatuka pasi na kuirejea tena diplomasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS