-
Ansarullah: Hii ndiyo sababu iliyotufanya tuache kuishambulia kijeshi Imarati
Mar 19, 2021 04:34Kiongozi mmoja mwandamizi wa Harakati ya Asarullah ya Yemen amefichua kuwa, barua ya kiongozi wa harakati hiyo, Sayyid Abdul Malik al Houthi kwa Umoja wa Falme za Kiarabu iliyoipelekea Abu Dhabi ikomeshe mashambulio yake nchini Yemen, ndiyo sababu iliyoifanya Ansarullah isimamishe mashambulizi yake ya kulipiza kisasi dhidi ya Imarati.
-
Serikali ya Somalia yaikosoa Imarati kwa kuwaunga mkono wapinzani wa Kisomali
Feb 21, 2021 11:46Serikali ya Somalia imeikosoa Imarati kutokana na kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Mogadishu.
-
Kuendelea mapigano kati ya Imarati na Saudia huko Yemen
Feb 18, 2021 06:04Mamluki wenye mfungamano na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) huko kusini mwa Yemen wamevishambulia vikosi vya serikali iliyojiuzulu ya Yemen ya Abdrabbuh Mansur Hadi inayoungwa mkono na Saudi Arabia wakati vilipokuwa vikielekea katika mkoa wa Maarib mashariki mwa Yemen.
-
Mashirika 99 yataka kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudia, UAE
Feb 13, 2021 05:23Mashirika 99 ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yametoa mwito wa kusitishwa mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu sambamba na kuondolewa mzingiro dhidi ya Yemen.
-
Wasiwasi wa UN wa kuendelea kuteswa wanaharakati katika jela za Imarati
Feb 12, 2021 04:10Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Haki za Binadamu ameelezea kusikitishwa na hali mbaya na mateso wanayofanyiwa wanaharakati wa haki za binadamu katika jela za Umoja wa Falme za Kiarabu na ametaka waachiliwe huru.
-
Imarati, Bahrain zawakatia Wapalestina misaada baada ya kuikumbatia Israel
Feb 07, 2021 04:18Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain zimepunguza kwa kiasi kikubwa misaada yao ya kifedha iliyokuwa ikiwapa wananchi wa Palestina, baada ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Italia pia yasitisha mauzo ya silaha kwa Saudia na Imarati
Jan 30, 2021 04:22Serikali ya Italia imesimamisha uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, baada ya wanaharakati na wabunge wa nchi hiyo ya Ulaya kuonya kuwa, silaha hizo zinatumika kukanyaga haki za binadamu nchini Yemen.
-
Kufunguliwa ubalozi; Imarati katika mkondo wa kupanua uhusiano na Israel
Jan 26, 2021 23:11Ubalozi wa utawala haramu wa Israel ulifunguliwa rasmi huko Abu Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) tarehe 21 ya mwezi huu wa Januari.
-
Palestina yaishtaki rasmi Imarati Umoja wa Mataifa
Jan 24, 2021 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina Riyadh al Maliki amewasilisha rasmi mashtaka dhidi ya Imarati kwa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet.
-
Madola vamizi yazidi kuiba mafuta ya wananchi maskini wa Yemen
Jan 16, 2021 22:50Duru za usalama za Yemen zimetangaza kuwa, madola vamizi yanayoongozwa na Saudi Arabia na Imarati yanaendelea kuiba mafuta ya nchi hiyo ya Kiarabu.