-
Jumuiya ya Maulamaa Algeria: Kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu
Aug 17, 2020 13:19Jumuiya ya Maulamaa wa Algeria imesema, ni haramu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Kizayuni wa Israel.
-
Taathira za kiusalama za ‘makubaliano ya usaliti’ ya Israel na Imarati
Aug 17, 2020 06:38Makubaliano ya hiana na usaliti ya Imarati na utawala dhalimu wa Israel ya kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baina yao yatakuwa na matokeo na taathira tofauti katika uga wa usalama.
-
Mjukuu wa Mandela akosoa mapatano ya kuanzisha uhusiano baina ya Imarati na Israel
Aug 16, 2020 03:11Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini amekosoa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel.
-
UAE: Hakuna hakikisho lolote la kughairishwa umegaji wa eneo la Ufukwe wa Magharibi
Aug 16, 2020 02:16Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Imarati (UAE) amekiri kuwa hakuna hakikisho lolote lililotolewa katika makubaliano kati ya nchi hiyo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel la kufutwa mpango wa kulimega eneo la ardhi ya Palestina la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Spika wa Bunge la Iran: Imarati imejidhalilisha kwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Aug 15, 2020 02:59Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa makubaliano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano baina ya pande hizo mbili ni ya kijidhalilisha na ni usaliti kwa thamani za Umma wa Kiislamu na malengo ya taifa la Palestina.
-
Muungano wa Maulama wa Kiislamu: Hatua ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel ni usaliti mkubwa
Aug 15, 2020 02:58Jumuiya ya Muungano wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu imelaani makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Imarati na utawala haramu wa Israel yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Marekani.
-
Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 14, 2020 09:34Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Mapatano ya aibu na usaliti kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 08:59Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, utawala ghasibu wa Israel na Marekani zimetoa taarifa ya pamoja zikitangaza kwamba Imarati na utawala haramu wa Israel zimefikia mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina yazo.
-
Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yalaani mapatano ya kuaibisha ya UAE na Israel
Aug 14, 2020 03:13Makundi ya kupigania ukombozi wa Paelstina yametoa taarifa kadhaa za kulaani vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzisha rasmi uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Imarati yafanya njama za kubadili utambulisho wa kisiwa cha Socotra
Aug 14, 2020 02:58Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ambayo umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen unafanya mikakati ya kubadili utambulisho wa kisiwa hicho.