Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen

    Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen

    Apr 29, 2019 23:32

    Tokea mwezi Machi 2015 Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, zimekuwa zikiendesha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen. Marekani na Uingereza pia zimekuwa na mchango mkubwa katika vita hivyo kwa kuzipa nchi mbili hizo za Kiarabu msaada mkubwa wa kilojistiki, habari za siri na kijeshi.

  • Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Ndege za kivita za kigeni zimehusika katika mashambulio ya Tripoli

    Apr 29, 2019 01:51

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa ndege za kigeni zilishiriki katika mashambulio ya hivi karibuni katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli.

  • Netanyahu aipongeza Imarati kwa kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai

    Netanyahu aipongeza Imarati kwa kuialika Israel katika Maonyesho ya Dubai

    Apr 26, 2019 22:10

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameupongeza Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kuualika utawala huo haramu kushiriki katika Maonyesho ya Dubai ya 2020.

  • Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Reuters: Marekani na Ulaya 'zinaiba dhahabu Afrika' kupitia Imarati

    Apr 24, 2019 23:50

    Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la Reuters umefichua kuwa, tani za dhahabu zenye thamani ya mabilioni ya dola zinasafirishwa kila mwaka kwa njia za magendo kutoka Afrika kuelekea Marekani na nchi za Ulaya, huku Umoja wa Falme za Kiarabu ukitajwa kuwa lango kuu la biashara hiyo haramu.

  • Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu

    Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu

    Apr 22, 2019 22:51

    Umoja wa Taasisi za Kiislamu za Ufaransa umesema kuwa, vitendo vya Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri vinaupaka matope Uislamu duniani na kupelekea kuongezeka mashambulizi dhidi ya Waislamu barani Ulaya.

  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati

    Apr 19, 2019 08:48

    Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan limempiga kalamu nyekundu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuonyesha kuwa tayari kukutana na ujumbe wa Qatar.

  • Imarati yazitaka nchi za Kiarabu ziboreshe uhusiano na utawala katili wa Israel

    Imarati yazitaka nchi za Kiarabu ziboreshe uhusiano na utawala katili wa Israel

    Mar 29, 2019 00:08

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati ameziasa nchi za Kiarabu ziimarishe uhusiano wao na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran yazilaumu nchi zinazounga mkono vikwazo vya Marekani dhidi yake

    Iran yazilaumu nchi zinazounga mkono vikwazo vya Marekani dhidi yake

    Mar 03, 2019 12:22

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya sheria na ya kimataifa amesema kuwa nchi ambazo zinaunga mkono vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa la Iran zinavunja roho ya mshikamano kati ya Waislamu.

  • Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Imarati yashutumiwa kufanya njama za kurejesha utawala wa kidikteta Tunisia

    Mar 01, 2019 23:17

    Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia amefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya njama za kufelisha juhudi za kuimarisha demokrasia nchini humo kupitia hilo za kuyafelisha mapinduzi ya wananchi wa nchi hiyo na kuurejesha madarakani utawala wa kidikteta.

  • Morocco, Saudia na Imarati zaingia katika ugomvi mkubwa, Rabat yawaita nyumbani mabalozi wake

    Morocco, Saudia na Imarati zaingia katika ugomvi mkubwa, Rabat yawaita nyumbani mabalozi wake

    Feb 09, 2019 21:46

    Morocco, Saudia na Imarati zimeingia katika ugomvi mkubwa na kuifanya serikali ya Rabat iwaite nyumbani mabalozi wake kutoka Abu Dhabi na Riyadh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS