Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Wayemen wa mji wa Aden waandamana kulaani hatua haribifu za Imarati

    Wayemen wa mji wa Aden waandamana kulaani hatua haribifu za Imarati

    Jan 28, 2019 04:42

    Familia za watu wanaoshikiliwa katika jela za siri za askari wa Imarati nchini Yemen, zimefanya maandamano ya kulaani hatua haribifu za askari hao mjini Aden, kusini mwa Yemen.

  • Rights Radar: Umoja wa Mataifa uokoe wafungwa wa Kiyemeni katika jela za Imarati

    Rights Radar: Umoja wa Mataifa uokoe wafungwa wa Kiyemeni katika jela za Imarati

    Jan 17, 2019 12:46

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Radar for Human Rights limeutaka Umoja wa Mataifa ufanye jitihada kuokoa maisha ya mahabusu wa Kiyemeni wanaoshikiliwa katika jela za Imarati katika mji wa Aden.

  • Shirika la Etihad la Imarati kuwatimua marubani 50 mwezi huu kutokana na hali mbaya ya uchumi

    Shirika la Etihad la Imarati kuwatimua marubani 50 mwezi huu kutokana na hali mbaya ya uchumi

    Jan 11, 2019 23:24

    Shirika la ndege la Etihad la nchini Imarati limetangaza kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi huu wa Januari litawapiga kalamu nyekundu marubani 50 kutokana na matatizo ya kiuchumi yaliyolikumba shirika hilo katika miaka miwili iliyopita.

  • Baada ya Imarati, Bahrain nayo yafungua tena ubalozi wake Syria

    Baada ya Imarati, Bahrain nayo yafungua tena ubalozi wake Syria

    Dec 28, 2018 12:29

    Serikali ya Bahrain imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Imarati yafungua upya ubalozi wake nchini Syria baada ya miaka 7

    Imarati yafungua upya ubalozi wake nchini Syria baada ya miaka 7

    Dec 27, 2018 11:34

    Umoja wa Falme za Kiarabu umefungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Qatar: Saudi Arabia na Imarati ndio wahatarishaji wakuu wa amani ya Mashariki ya Kati

    Qatar: Saudi Arabia na Imarati ndio wahatarishaji wakuu wa amani ya Mashariki ya Kati

    Dec 17, 2018 23:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu ndio wahatarishaji wakuu wa utulivu na usalama wa nchi za Mashariki ya Kati na lengo lao kuu ni kuvunja amani ya nchi zote za eneo hilo.

  • Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia

    Rais wa zamani wa Tunisia: Saudia na Imarati ni hatari kwa demokrasia

    Nov 30, 2018 11:38

    Rais wa zamani wa Tunisia ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa na Saudi Arabia na Imarati kwa ajili ya kuingilia uchaguzi mkuu ujao nchini humo.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kushadidi jinai za Wasaudia nchini Yemen

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa kuhusu kushadidi jinai za Wasaudia nchini Yemen

    Nov 14, 2018 02:38

    Saudi Arabia kwa kushirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati zinaendesha mashambulizi ya kikatili dhidi ya nchi maskini ya Kiarabu tangu mwezi Machi 2015 kwa msaada wa madola ya kibeberu hasa Marekani.

  • Tume ya maulama Saudia: Kufanya uhusiano na Israel ni kuyafanyia hiyana matukufu ya Palestina

    Tume ya maulama Saudia: Kufanya uhusiano na Israel ni kuyafanyia hiyana matukufu ya Palestina

    Oct 30, 2018 11:09

    Kamati ya maulama nchini Saudi Arabia imetangaza kwamba, kufanya uhusiano mwema na utawala haramu wa Kizayuni kwa aina yoyote ile, ni kuyafanya hiyana kubwa matukufu ya Palestina.

  • Hamas yalaani kitendo cha Imarati cha kumkaribisha Abu Dhabi, waziri Mzayuni

    Hamas yalaani kitendo cha Imarati cha kumkaribisha Abu Dhabi, waziri Mzayuni

    Oct 30, 2018 01:11

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu cha kumkaribisha mjini Abu Dhabi waziri wa utawala wa Kizayuni ambao kila leo unawaua shahidi wananchi wasio na hatia wa Palestina ni kitendo cha aibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS