Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Ripoti: Saudia na Imarati zinapanga kufanya mapinduzi Bahrain

    Jun 09, 2018 03:39

    Tovuti ya habari ya Middle East Eye imeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinapanga njama ya kumuondoa mamlakani Waziri Mkuu wa Bahrain, Khalifa bin Salman Aal-Khalifah.

  • Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE

    Oman yasema haiwezi kuvumilia tena chokochoko za UAE

    Jun 08, 2018 20:53

    Migogoro inazidi kutokota katika Ghuba ya Uajemi baada ya Oman kuuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa haiwezi kuvumilia tena wizi wa turathi zake za kitaifia na haki za uvumbuzi.

  • Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League

    Imarati yakiri kwamba lilikuwa kosa kuiondoa Syria Arab League

    Jun 07, 2018 02:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Imarati amekiri wazi kwamba maamuzi ya kuiondoa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) yalikuwa makosa makubwa.

  • Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Mwaka mmoja wa mgogoro kati ya nchi za Kiarabu

    Jun 06, 2018 01:27

    Umetimia mwaka mmoja tokea uanze mgogoro baina ya nchi za Kiarabu na dalili zote zinaonyesha kuwa mgogoro huo ungali unaendelea bali hata utazidi kupanuka na kuwa mbaya zaidi.

  • Marekani kupanua operesheni zake za kijeshi Yemen kufuatia ombi la Imarati

    Marekani kupanua operesheni zake za kijeshi Yemen kufuatia ombi la Imarati

    Jun 04, 2018 09:48

    Marekani inatathmini ombi la Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) la kuipa msaada wa moja kwa moja kwa ajili ya kufanikisha mashambulizi ya kuiteka bandari ya Hudaydah, ambayo kwa sasa inadhibitiwa na vikosi vya Ansarullah vya Yemen.

  • Jeshi la Yemen: Abu Dhabi ipo ndani ya shabaha ya makombora yetu

    Jeshi la Yemen: Abu Dhabi ipo ndani ya shabaha ya makombora yetu

    Jun 02, 2018 03:22

    Msemaji wa Jeshi la Yemen ameionya vikali Imarati kuwa mji mkuu wake Abu Dhabi kuanzia sasa hautakuwa salama na upo katika shabaha ya makombora ya nchi hiyo ya Kiarabu, ikiwa ni katika ulipizaji hujuma za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini.

  • Answarullah: Lengo kuu la Saudia na Imarati ni kuikalia kwa mabavu Yemen

    Answarullah: Lengo kuu la Saudia na Imarati ni kuikalia kwa mabavu Yemen

    May 28, 2018 00:14

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Answarullah nchini Yemen, Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema kuwa lengo la Saudia na Imarati katika kuivamia kijeshi Yemen ni kuikalia kwa mabavu nchi hiyo na kwamba nchi hizo kamwe hazina nia yoyote ya kufikia amani.

  • Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    Mgogoro wa Qatar na nchi za Kiarabu wazidi kutokota, Doha yapiga marufuku bidhaa za Saudia, Imarati, Bahrain na Misri

    May 27, 2018 00:13

    Katika hali inayoonekana ni kuzidi kuwa mkubwa mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zilizoizingira kila upande nchini hiyo, wizara ya uchumi na biashara ya Qatar jana ilipiga marufuku kuhifadhi, kunua na kuuza bidhaa yoyote iliyotengenezwa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu yaani Imarati, Bahrain na Misri.

  • Marekani kuziuzia Saudia na Imarati 'mabomu-erevu' 120,000

    Marekani kuziuzia Saudia na Imarati 'mabomu-erevu' 120,000

    May 23, 2018 02:56

    Rais Donald Trump ameliomba Bunge la Kongresi la Marekani litathmini mpango wa kuziuzia Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu makumi ya maelfu ya mabomu-erevu ya kuelekezwa, licha ya makelele ya jamii ya kimataifa ya kupinga utumiaji silaha hizo dhidi ya wananchi wa Yemen.

  • Waarabu wazidi kujipendekeza kwa Israel; Waziri wa utawala huo kuelekea Imarati Oktoba

    Waarabu wazidi kujipendekeza kwa Israel; Waziri wa utawala huo kuelekea Imarati Oktoba

    May 17, 2018 23:29

    Waziri wa Mawasiliano wa Utawala Katili wa Israel amesema kuwa mwaka huu na kwa mara ya kwanza atashiriki mkutano nchini Imarati, katika safari ya kwanza rasmi kwa kiongozi wa ngazi ya juu wa Kizayuni katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS