-
Qatar kuendelea kuisaidia Somalia huku mgogoro na Imarati ukitokota
May 15, 2018 09:14Qatar imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada za serikali ya Somalia za kurejesha uthabiti na uhuru wa kujitawala huku mgogoro kati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika na Umoja wa Falme za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Kenya yazionya nchi za Kiarabu ziache kushadidisha mgogoro wa Somalia
May 08, 2018 03:27Serikali ya Kenya imezionya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi, hasa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuacha kuchochea mgogoro wa Somalia na kuidhoofisha serikali ya nchi hiyo.
-
Kushtadi hitilafu baina ya Imarati na Saudi Arabia huko Yemen; Imarati yakivamia kisiwa cha Socotra
May 04, 2018 23:34Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekivamia na kukikalia kwa mabavu kisiwa cha Socotra huko Yemen na kuvifukuza vikosi vyenye mfungamano na Rais mtoro wa nchi hiyo kisiwani humo.
-
Imarati na Bahrain kushiriki sherehe za miaka 70 ya kuundwa utawala pandikizi wa Israel
May 03, 2018 23:38Bahrain na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kuwa zitashiriki katika mashindano ya pikipiki yaliyoitishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel yanayoanza leo Ijumaa.
-
Misri na Imarati zatuhumiwa kuvuruga mchakato wa mapatano ya kitaifa Libya
Apr 24, 2018 11:54Jumuiya ya International Action Group for Libya imezituhumu nchi za Imarati na Misri kuwa zinavuruga jitihada zinazofanywa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya mapatano ya kitaifa nchini Libya.
-
Answarullah ya Yemen yaiunga mkono Somalia; yaionya Imarati
Apr 21, 2018 02:57Muhammad Ali al Houthi, mkuu wa Kamati Kuu za Mapinduzi ya Yemen ameiunga mkono Somalia katika mgogoro wake na Imarati ambayo inaingilia waziwazi masuala ya ndani ya Somalia na kuitahadharisha Abu Dhabi kwa kuingilia masuala ya ndani ya Mogadishu.
-
Imarati yamtimua balozi wake wa Ethiopia kwa kushindwa kuandaa safari ya mkuu wake
Apr 20, 2018 09:38Serikali ya Imarati imemrejesha nyumba na kumpiga kalamu nyekundu balozi wake nchini Ethiopia.
-
Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden
Apr 19, 2018 03:21Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR yameripoti kuwa wanawake wahajiri wa Kiafrika wanakashifiwa na kudhalilishwa kingono katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.
-
HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen
Apr 18, 2018 03:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Mgogoro kati ya Somalia na Imarati washtadi, Abu Dhabi yafunga hospitali yake Mogadishu
Apr 17, 2018 09:40Mgogoro kati ya Somalia na Imarati umezidi kushtadi ambapo mara hii serikali ya Abu Dhabi imechukua hatua ya kufunga hospitali yake mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.