-
Saudia na Imarati zawafanya mamluki maelfu ya vijana wa Afrika
Apr 17, 2018 09:33Gazeti la al-Quds al-Arabi limeripoti kuwa, Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zinataka kuwasajili maelfu ya vijana wa Kiafrika zitakaowatumia katika operesheni zao za nje ya nchi vikiwemo vita dhidi ya Yemen.
-
Serikali ya Somalia yapinga kuingiliwa katika masuala yake ya ndani
Apr 17, 2018 03:35Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia amesema kuwa, serikali na wananchi wa nchi hiyo wanapinga uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Uhusiano wa Somalia na Umoja wa Falme za Kiarabu wazidi kuzorota
Apr 15, 2018 12:13Mzozo katika uhusiano baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Somalia umezidi kuzorota kutokana na hatua ya Imarati kuingilia mambo ya ndano ya nchi hiyo.
-
Somalia yaitaka UN kusitisha uvamizi wa Imarati Somaliland
Mar 29, 2018 00:04Mwakilishi wa Somalia katika Umoja wa Mataifa amelaani hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ya kukiuka maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na ametaka hatua za lazima zichukuliwe ili kusitisha uchokozi huo wa Imarati.
-
Aghalabu ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao iache kuiuzia silaha Saudia
Mar 26, 2018 10:31Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao isimamishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia, Imarati na nchi nyingine zinaoendesha vita haribifu huko Yemen.
-
Qatar: Imarati imetutaka kuachana na maandalizi ya Kombe la Dunia 2022 ili iache kutuzingira
Mar 24, 2018 10:16Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Qatar amefichua kwamba, nchi nne zinazoizingira nchi hiyo zikiongozwa na Saudi Arabia, zimetoa sharti zito kwa Doha kwamba, inatakiwa kuchagua moja ya mambo mawili, ima kuachana na maandalizi ya michuano ya kombe la dunia 2022, au kuendelea kuzingirwa na nchi hizo.
-
Imarati yadai kuhusika katika kuuzuliwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani
Mar 14, 2018 11:01Abdulkhaliq Abdullah Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Umoja wa Falme za Kiarabu Imarati na ambaye pia ni Naibu wa Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan mrithi wa Mtawala wa Abu Dhabi amedai kuwa nchi hiyo imehusika katika kuuzuliwa Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani na kusema kuwa anajifakharisha na hatua hiyo.
-
Bunge la Somalia lapinga makubaliano ya Imarati na Somaliland
Mar 13, 2018 04:05Bunge la Federali la Somalia limepiga kura kwa kishindo kupinga makubaliano ya pande tatu kati ya eneo la Somaliland, Umoja wa Falme za Kiarabu na Ethiopia kuhusu bandari ya Berbera, iliyoko katika Ghuba ya Aden.
-
Imarati inatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa Haftar
Mar 12, 2018 10:16Makamu wa pili wa Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Libya amesema kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia pesa zilizozuiwa za Libya kuwaunga mkono wapiganaji wa kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo.
-
Marekani kuwekeana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati; Doha yaishtaki Abu Dhabi kwa UN
Mar 09, 2018 00:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani jana (Alkhamisi) ilisema kuwa karibuni hivi nchi hiyo itatiliana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati ambayo itakuwa na thamani ya dola milioni 467.