-
Ethiopia yanunua hisa za Bandari ya Berbera Somaliland
Mar 02, 2018 04:21Serikali ya Ethiopia imenunua asilimia 19 ya hisa za Bandari ya Berbera iliyoko katika Jamhuri iliyojitangazia uhuru ya Somaliland nchini Somalia.
-
Mansour Hadi avunja ukimya; aituhumu Imarati kwa kuvuruga uthabiti Yemen
Feb 12, 2018 23:27Rais wa zamani wa Yemen Abdu Rabbuh Mansour Hadi hatimaye amevunja kimya chake na kuituhumu Imarati kuwa inadhoofisha na kuvuruga hali ya uthabiti huko Yemen.
-
Mshindi wa Nobel asema Saudia na Imarati zimeisaliti Yemen
Feb 08, 2018 10:46Tawakkol Karman, mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel wa nchini Yemen amesema Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zimeisaliti nchi yake kwa kuivamia kijeshi na kuifanya ishuhudie moja ya migogoro mikubwa zaidi duniani.
-
Safari yenye malengo ya uchaguzi ya Rais wa Misri nchini Imarati
Feb 08, 2018 04:23Rais Abdul-Fatah al-Sisi wa Misri Jumanne ya juzi aliwasili Abu Dhabi katika mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) baada ya kukamilisha safari yake ya siku tatu huko Oman.
-
Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Katiba Bunge la Somalia asema: Imarati ilipanga kumuua
Feb 03, 2018 23:12Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Katiba ya Mabunge ya Somalia amesema kuwa vyombo vya ujasusi vya Imarati vilihusika na shambulizi lililolenga nyumba yake mjini Mogadishu mwishoni mwa mwezi Disemba na kwamba lengo la shambulizi hilo lilikuwa kumuua yeye.
-
Mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel ashangaa kutoshtakiwa Bin Salman na Al Nahyan
Feb 03, 2018 04:50Bi Tawakkol Karman, mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel wa nchini Yemen amesisitizia umuhimu wa kushtakiwa kimataifa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia na Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Abu Dhabi kutokana na jinai zao za mauaji ya umati nchini Yemen.
-
Nchi za Afrika zakasirishwa na uingiliaji kijeshi wa UAE nchini Eritrea na Somalia
Jan 30, 2018 04:16Baadhi ya nchi za Kiafrika zimepinga vikali hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, kujenga vituo vya kijeshi na kuingilia mambo ya ndani ya Eritrea na Somalia.
-
Mapigano makali yaibuka kati ya wanamgambo wa Saudia na Imarati, Aden nchini Yemen
Jan 29, 2018 01:15Katika mapigano makali yaliyojiri kati ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Saudia na Imarati mjini Aden, kusini mwa Yemen kwa akali watu 10 wameuawa na wengine 100 kujeruhiwa.
-
Muungano wa Saudia, Imarati na Bahrain huko Davos, ni kosa la kistratajia
Jan 27, 2018 04:15Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameutaja muungano eti dhidi ya Iran wa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain katika Mkutano wa Kimataifa wa uchumi huko Davos nchini Uswisi kama kosa la kistratajia.
-
UAE iliilipa kampuni ya Marekani kueneza propaganda dhidi ya Qatar
Jan 21, 2018 04:18Shirika la habari la NBC News limefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu uliilipa kampuni moja ya Marekani dola 333,000 ili kueneza propaganda chafu dhidi ya Qatar mwaka jana.