-
Mashauriano ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan na Russia kuhusiana na Kashmir
Aug 15, 2019 22:05Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan Shah Mehmood Qureshi amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Russia, Sergey Lavrov kuhusiana na hali ya eneo la Kashmir linalodhibitiwa na India.
-
Iran yaunga mkono kuanza mchakato wa kumtibu kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Aug 13, 2019 06:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa kuanza kumpatia matibabu Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kueleza kufurahishwa na hatua ya kuelekea India Sheikh Zakzaky na mkewe kwa ajili ya matibabu.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan atahadharisha kuhusu uwezekano wa kutokea vita na India
Aug 07, 2019 03:30Waziri Mkuu wa Pakistan ametahadharisha kuwa, kuna uwezekano wa kutokea vita baina ya nchi yake na India baada ya New Delhi kufuta kifungu cha katiba kinacholipa mamlaka ya utawala wa ndani jimbo linalozozaniwa na Kashmir.
-
India yatayarisha mazingira ya kulitwaa kikamilifu eneo la Kashmir
Aug 05, 2019 21:57Serikali ya India imefuta sheria inayolipa hali makhsusi eneo la Kashmir linalozozaniwa baina ya nchi hiyo na Pakistan katika jitihada za kuliunganisha kikamilifu na ardhi ya India.
-
Pakistan: Tupo tayari kufanya mazungumzo na India
Jul 26, 2019 23:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan amesema kuwa Islamabad ipo tayari kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya amani na India.
-
India yajibu mapigo, yatangaza ushuru wa juu kwa bidhaa za Marekani
Jun 16, 2019 02:22Serikali ya India imetangaza ushuru wa juu wa forodha kwa bidhaa 28 za Marekani, ikiwa ni radimali ya nchi hiyo ya Asia kwa vikwazo vya kibiashara vya Washington dhidi yake.
-
Ushindi wa Modi katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa India
May 24, 2019 07:08Chama tawala cha Bharatiya Janata Party BJP cha nchini India kinachoongozwa na Narendra Modi kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa hivi karibuni wa bunge kwa kujizolea viti 343 kati ya viti vyote 542 vya bunge hilo.
-
Narendra Modi apata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu India
May 24, 2019 03:44Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliochukua zaidi ya mwezi mmoja ambapo watu takribani milioni 600 walipiga kura.
-
India na Pakistan zatangaza azma ya kutatua tofauti baina yao
May 23, 2019 03:17Mawaziri wa Mambo ya Nje wa India na Pakistan wametangaza azma ya kutatua tofauti za nchi zao kufuatia mgogoro ulioibuka hivi karibuni.
-
Onyo la India kwa Pakistan kutokana na kukiuka usitishaji vita baina yao
Mar 09, 2019 03:19Wizara ya Ulinzi ya India imeitahadharisha Pakistan kuhusiana na kukiuka usitishaji vita katika eneo la mpaka la Kashmir.