Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

India

  • India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    Mar 06, 2019 02:28

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza mashambulizi na vita vyake vya kibiashara dhidi ya mataifa mengine duniani kupitia kuziongezea ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia Marekani na hivyo kusababisha vurugu kubwa katika miamala ya kibiashara ya kimataifa.

  • Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Pakistan yatimua nyambizi za jeshi la India, hali ingali tete

    Mar 05, 2019 10:50

    Pakistan inasema imeitimua kwa mafanikio nyambizi ya Jeshi la Majini la India ambayo ilijaribu kuingia katika mipaka yake ya baharini huku hali ikiwa bado ni tete baina ya madola hayo jirani yanayohasimiana na ambayo yana silaha za nyuklia.

  • OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    OIC yazitaka India na Pakistan zitatue mgogoro kwa njia za amani

    Mar 03, 2019 04:12

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu (OIC) imepasisha azimio linalozitaka India na Pakistan zijiepushe na vitendo vinavyoweza kuendelea kuchochea taharuki baina yao, sambamba na kuupatia ufumbuzi mgogoro baina ya nchi mbili hizo jirani kwa njia za amani.

  • Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Pakistan yaiomba Iran ipatanishe mzozo kati yake na India

    Mar 01, 2019 23:18

    Ubalozi wa Pakistan mjini Tehran umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran itumie ushawishi wake kusaidia utatuzi wa amani wa mzozo uliozuka baina ya nchi yake na India.

  • Tishio la Pakistan la kuiangamiza miji ya India ya Mumbai na New Delhi

    Tishio la Pakistan la kuiangamiza miji ya India ya Mumbai na New Delhi

    Feb 27, 2019 09:16

    Msemaji wa jeshi la Pakistan ametangaza kuwa, endapo kutatokea vita baina ya India na Pakistan, basi mwanzoni tu mwa vita hivyo, Pakistan itaisambaratisha miji ya Mumbai na New Delhi na kuisawazisha na udongo.

  • Katibu Mkuu wa UN ataka India, Pakistan zipunguze uhasama

    Katibu Mkuu wa UN ataka India, Pakistan zipunguze uhasama

    Feb 20, 2019 04:31

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa India na Pakistan zichukue hatua za haraka kupunguza uhasama baina yao kufuatia hujuma mbaya ya kigaidi huko Kashmir ambayo imepelekea kuwepo hatari ya kuibuka mapigano baina ya nchi hizo mbili zenye silaha za nyuklia.

  • India yaituhumu Pakistan kwa kuhusika na shambulizi la Kashmir

    India yaituhumu Pakistan kwa kuhusika na shambulizi la Kashmir

    Feb 19, 2019 12:21

    Kamanda wa jeshi la India katika eneo la Kashmir Luteni Jenerali G S Dhillon amesema kuwa shirika la ujasusi la Pakistan limehusika katika hujuma iliyolenga msafara wa askari usalama wa nchi hiyo wiki iliyopita ambayo imeua zaidi ya askari 40 wa India.

  • Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake

    Bahram Qassemi: Iran itatoa majibu dhidi ya vitendo vya kiuadui dhidi yake

    Jan 14, 2019 23:11

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itachukua hatua ya lazima na mwafaka mkabala na kitendo chochote kile cha kiuadui ambacho kitakuwa dhidi ya maslahi ya kitaifa ya Iran.

  • Watawa wanawake wa Kanisa Katoliki nchini India wafichua ufuska wanaofanyiwa na makasisi

    Watawa wanawake wa Kanisa Katoliki nchini India wafichua ufuska wanaofanyiwa na makasisi

    Jan 03, 2019 23:13

    Watawa wanawake wa Kanisa Katoliki nchini India wamefichua namna maaskofu, mapadri na hata makasisi wastaafu wa kanisa hilo wanavyowadhalilisha kingono wasijue cha kufanya.

  • Jitihada za India za kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani

    Jitihada za India za kupunguza utegemezi kwa dola ya Marekani

    Dec 15, 2018 23:16

    Wizara ya Biashara ya India imetangaza kuwa, nchi hiyo inafanya jitihada za kupunguza utegemezi wa nchi hiyo kwa sarafu ya dola ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS